Halima Mdee yuko wapi?

Sio Halima Mdee tu zaidi ya 50% ya wabunge wa UKAWA wamepoteana mpaka viongozi wao.
 
Lile swala la kubadili gia angani limepulizia upupu kwenye kile chama pendwa.. bado watu wanaugulia vumbi.. watakaa sawa baada ya mda..
 
Nafikiri atakuwa amefata ushauri wa mheshimiwa prezdaa wa kurudi jimboni mwake...
 
Dah tukianza kuuliza humu waliopotea ndani ya UKAWA hakika tutajaza server. Baada ya uchaguzi hakika wamepoteana sana. Magufuli kawaficha mfukoni
 
Back
Top Bottom