Clarify!mapenzi ya jinsia moja yamekatazwa
Clarify!
Ok, noted! Hivi ukiwa na miaka 60 na hujaolewa ni Dada vile vile
Hapana huko hajafika ila kaumri ni kakubwa kidogo, late thirties I guessunataka kusema Halima ana miaka 60 mbona anaoneka ni bint wa miaka 30s.
Hapana huko hajafika ila kaumri ni kakubwa kidogo, late thirties I guess
Hakika Magufuli ni baba lao!Dah tukianza kuuliza humu waliopotea ndani ya UKAWA hakika tutajaza server. Baada ya uchaguzi hakika wamepoteana sana. Magufuli kawaficha mfukoni
Kwani CCM, nani mwingine anasikika zaidi ya mkuu wa kaya na makonda? Na nahisi unafahamu fika kuwa hata hao wanalazimishia media support....Wapendwa,
Huyu mama yuko wapi hasikiki kabisa yuko wapi?
Halima Mdeee ni mama kasoro watoto, aged above 35 yrs, how to be a sister?????Halima Mdee ni dada sio Mama.
Wewe Mumeo yuko wap kwani ?Wapendwa,
Huyu mama yuko wapi hasikiki kabisa yuko wapi?
Jib swaliWewe Mumeo yuko wap kwani ?
Ok, noted! Hivi ukiwa na miaka 60 na hujaolewa ni Dada vile vile
Sir........ ngoja nitafute maana yake, its literal meaning and that attached to religionKuwa mama manake alishawahi kwenda leba hata kama una 60 hujafika leba utaendelea kuwa dada yake mtu na hakuna mtu anayekuita mama. Kwenye dini wakatoliki wanaita sister hata kama una miaka 100
Utawasikia vipi wakati mmeminya uhuru wa habari. Mnataka muongee pekee yenu utafkiri ccm ndio yenye hati miliki pekeeWapendwa,
Huyu mama yuko wapi hasikiki kabisa yuko wapi?