mwibagi2015
Member
- Jul 29, 2015
- 98
- 42
Nenda Jimboni kwake utamkuta
JPM unamuona wapi? Nape unamuona wapi? Makonda unamuona wapi? Nakuwa na mashaka na wewe!Umekwenda kwake ukamkosa au unamtafutia wapi hadi useme haonekani??
Dah tukianza kuuliza humu waliopotea ndani ya UKAWA hakika tutajaza server. Baada ya uchaguzi hakika wamepoteana sana. Magufuli kawaficha mfukoni
Duh..., ukishaanza ku-guess ina maana huna uhakika..., kwa kifupi huo umbea!!
Dah tukianza kuuliza humu waliopotea ndani ya UKAWA hakika tutajaza server. Baada ya uchaguzi hakika wamepoteana sana. Magufuli kawaficha mfukoni

ChedemaMtoa post na wewe uko wapi mbona haujulikani?
anakuwaje mama bila watoto?Halima Mdeee ni mama kasoro watoto, aged above 35 yrs, how to be a sister?????
mkuu wangeruhusiwa kama wanavyoruhusiwa upande wa pili nadhani haya unayo yasema hapa ungeyaficha.mwanasiasa husikika vizuri akiwa katka harakati zake za kisiasa,sasa wamezuiliwa kufanya chochote kinacho itwa siasa eti muda wa siasa umepita wametiii bado tunaulizana eti wako wapi?.yani unapambana na adui yako uliye mfunga mikono na miguuu alafu unapo mpiga bila yeye kujibu unahamaki na kuhoji kwanini hajibu mapigo?.Dah tukianza kuuliza humu waliopotea ndani ya UKAWA hakika tutajaza server. Baada ya uchaguzi hakika wamepoteana sana. Magufuli kawaficha mfukoni
Kwa mateja menzie.Wapendwa,
Huyu mama yuko wapi hasikiki kabisa yuko wapi?
Acha kashifa, Mungu atakulaani kwa kusema Uongo/kudhalilisha wenzako, binadamu wenzako. Unamvunjia heshima kwa ushabiki wa CCM, hata Magufuli unayemtetea hapendi hivyo!Kwa mateja menzie.