Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 58,974
- 132,634
- Thread starter
-
- #41
Mkuu TUKUTUKU , huku sio kuteleza kidogo, ni kuteleza kukubwa!, amini usiamini, pamoja na zile ziara zangu kibao kule mjengoni, nilimdhania huyi mama ni wa viti maalum!, sijabahatia kuisikia michango yake akimwaga cheche bungeni!. Kuna maeneo CCM imepigwa chini kwa sababu wameichoka mpaka basi!, inamaana Chadema hata wangesimamisha jiwe lingepita!. Nimewashauri wasirudie makosa, 2015 wasimamishe kila jimbo, ila lazima wakubali kuachiana baadhi ya majimbo ambayo vyama vingine vya upinzani wina strong candidate!.Mkuu Pasco hapo umeteleza kidogo Halima mdee siyo mbunge pekee wa kike wa upinzania aliyeingia bungeni kwa merits,kwani kuna mbunge wa kike wa Kasulu vijijini anaitwa Buyogera Zaituni Agripina wa NCCR-MAGEUZI,huyu ameingia bunge kwa kuchaguliwa baada ya kumshinda Daniel Nsanzuzwako wa CCM!
Mbunge wangu huyu nilimpigia kura lakini bahati mbaya anakutana na upinzani mkubwa ndani ya chama chake kati yake na Josephine, nani sijui atapitishwa na chama kugombea jimbo la Kawe.
Mkuu Tume ya Katiba, mbona nilishakiri udhaifu!, sisi wengine tuoneni hivi hivi..tu wagonjwa!.Msamehe pasco ana maradhi ya nyoyo!
Kiukweli, kila mtu anauwezo wa kuuona uzuri kutokana na macho yake!, mimi mwenzeni nimeshindwa ku update chochote Mdee anachosungumza, nimebaki nikimkodolea macho tuu!, na kukusaidia, hiyo sio wigi, hizo ni nywele zake na zimempendeza sana mpaka wengine kushindwa ku update anachozungumza!.
Sorry wanabody wengine kushindwa ku update, na mimi ni binadamu tuu!.
Pasco.
Mbunge wangu huyu nilimpigia kura lakini bahati mbaya anakutana na upinzani mkubwa ndani ya chama chake kati yake na Josephine, nani sijui atapitishwa na chama kugombea jimbo la Kawe.
Mbunge wangu huyu nilimpigia kura lakini bahati mbaya anakutana na upinzani mkubwa ndani ya chama chake kati yake na Josephine, nani sijui atapitishwa na chama kugombea jimbo la Kawe.
Weekend njema Mkuu Ben Saanane, kila nikikuona, kumbukumbu zangu za mwisho ni jinsi ulivyo mwiba, umewachoma na sasa tunasubiria tuu, wasisitizie chama chako, "mdharau mwiba.." tumbueni mapema huo usa... vinginevyo..Wakati mwingine.....
Nimeamini,nilidhani masikhara....ha ha ha!
Weekend njema!
Weekend njema Mkuu Ben Saanane, kila nikikuona, kumbukumbu zangu za mwisho ni jinsi ulivyo mwiba, umewachoma na sasa tunasubiria tuu, wasisitizie chama chako, "mdharau mwiba.." tumbueni mapema huo usa... vinginevyo..
P.
Mkuu 1800, usiwe na wasiwasi, mimi ... kwa macho tuu, mwenzio tayari long time ago, ni father of six!, mchana umeshapita sasa naelekea jioni!, hapo ni kazi kwenu vijana!.Ha ha ha ha ha! Mkuu Pasco naona unatafuta ugomvi kati yetu!!maana moyo,akili na macho yako na yangu kwa ili la Mh Mdee yana mtazamo mmoja!!mwenyewe nikimuangaliaga huyu dada nakua weak!ha ha ha ha!
Ha ha ha aaa!Ingawa nilikua nimekuaga....Nahisi jukwaa la siasa limeunganishwa na MMU sasa.Mkuu 1800, usiwe na wasiwasi, mimi ... kwa macho tuu, mwenzio tayari long time ago, ni father of six!, mchana umeshapita sasa naelekea jioni!, hapo ni kazi kwenu vijana!.
Siku moja niliwaona wabunge vijana masingle pale Club 94. Halima alikuwa na Esta, na kale kabinti ka Kigoma, huku vijana Nasari na wengine wawili, huwezi amini, japo niliingia mle kusafisha macho tuu, niliishia kuwakodolea tuu macho na ukiwaona hizo dresing zao huko club,,wee acha tuu!.
P.
Hapana mkuu, nani sasa atakuwa anatuchekesha tunapojadili serious issues kama kuibiwa twiga uwanja wa ndege, utapeli wa DOWANS, EPA, na vurugu za masalia?Mkuu wewe mtoto wa kiume usiwe na tabia za umbea.
Uzuri JF inahifadhi mabandiko ya kila member ukiweka bandika langu ambalo nimesema nimemchagua Mnyika, kuanzia leo najitoa JF.
Usipoweka kuanzia leo nakuweka kwenye kundi la wazadiki wa JF.
Mkuu 1800, usiwe na wasiwasi, mimi ... kwa macho tuu, mwenzio tayari long time ago, ni father of six!, mchana umeshapita sasa naelekea jioni!, hapo ni kazi kwenu vijana!.
Siku moja niliwaona wabunge vijana masingle pale Club 94. Halima alikuwa na Esta, na kale kabinti ka Kigoma, huku vijana Nasari na wengine wawili, huwezi amini, japo niliingia mle kusafisha macho tuu, niliishia kuwakodolea tuu macho na ukiwaona hizo dresing zao huko club,,wee acha tuu!.
P.
Mahojiano yamemalizika, sanahanini sikufanikiwa kusikia kitu!, akili ziliniruka!.
P.
By Ritz
Mbunge wangu huyu nilimpigia kura lakini bahati mbaya anakutana na upinzani mkubwa ndani ya chama chake kati yake na Josephine, nani sijui atapitishwa na chama kugombea jimbo la Kawe.
halafu masalia wanaanzia chokochoko hapohapo. masalia bwana...!Wanadodi,
Mbunge wa Kawe, Mhe. Halima Mdee, yuko ITV akihojiwa live!.
Kwa kuanzia, anazungumzia ushiriki wa timu ya Bunge la Tanzania katika michuonao ya timu za mabunge ya nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, ambao timu ya bunge la Tanzania iliibuka kidedea!.
Kwa ref. tuu, Halima Mdee ndie mbunge pekee wa kike wa upinzani iliyeingia bungeni kwa merrits!. Wengine wote "wamebebwa!".
Tuendelee kumsikiliza
Please keep on watching!
Pasco.
No Mkuu Ben Saanane, high profile politicians kama huyu dada, anything she does ni politics, topic imedeviate kidogo kutokana na weaknesses zetu sisi wengine!. Siwaoni waliosikiliza nondo za amesema nini?!.Ha ha ha aaa!Ingawa nilikua nimekuaga....Nahisi jukwaa la siasa limeunganishwa na MMU sasa.
Ndio namuona.wigi lime mpunguzia uzuri wake.