Halima Mdee na wenzake 18 wagoma kufika Kamati Kuu ya chama kwa madai ya kupokea vitisho toka kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA

The law doesn’t exist or live, in a vacuum. Nor does it materialise out of thin air. The law is based on a society’s norms, which are drawn from its dominant civilization.

Norms are fountains of knowledge and wisdom in which the law is sheathed. The law can protect you, or harm you. Like a sword, it’s double-edged and cuts both ways. It’s indeterminate.

That’s why laws and norms are end products of political processes. They are the distillation of social, ethical, religious or class-based interests of elites.

Often, laws are a class imposition by a hegemonic group, or elites in society over subordinate, or subaltern, strata.
 
Fukuzia mbali hiyo COVID-19!
6789012.jpg
 
Halima Mdee ni mwanamke shujaa, msomi na mwanasheria, anaijua katiba ya Chadema, na vikao vya mamlaka ya nidhamu ni kama ifuatavyo...
  • Kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA, ili kumvua mtu uanachama kuna mlolongo wa kanuni na taratibu za kufuatwa na miongoni mwake ni hizi nitakazo ziorodhesha hapa chini, jee zilifuatwa?.
  • Kuandaa Hati ya Mashtaka kwa maandishi yenye tuhuma zote ambazo mtuhumiwa anakabiliwa nazo. Jee hati hizi za mashitaka kimaandishi ziliandaliwa?.
  • Hati hiyo ya mashitaki kimaandishi inatakiwa ikabidhiwa kwa mtuhumiwa kwa "despatch" ili kuthibitisha imemfikia, jee hili lilifanyika?, nimesikia kuna watu waliitwa kwa simu, jee huu ndio utaratibu kwa jambo zito kama hili?.
  • Mtuhumiwa atatakiwa kuzijibu tuhuma za mashitaka hayo ndani ya kipindi cha siku 14 tangu tarehe aliyopokea barua ile ili apate muda wa kutosha kutafakari, jee hili litafanyika?.
  • Baada ya majibu ya hati ile ya mashitaka kurejeshwa, ndipo mamlaka ya nidhamu ingepaswa kuitisha kikao rasmi kwa mujibu wa katiba na kumwalika mtuhumiwa kwa barua ili kuwapa nafasi ya kujieleza na kumsikiliza kabla ya kufikia maamuzi!. Jee this time Chadema itafuata taratibu?.
Halima na genge lake they are very right, Chadema ilizoea kufanya mambo kienyeji, leo imekutana na kisiki cha mpingo!.

P
Wakifukuzwa kama Watson’s hawakutendewa haki watakwenda mahakamani simple.
 
Harakati zinaendelea
Rais aliamua aanza na hili lililokua limebeba propaganda za kutumaliza kwa kwa kasi

Aliamua kuanza na hili wakati hili halina hata mwaka, aache hilo gonjwa lenye miaka? Uza ubongo huo maana unachekesha walionuna.
 
Nenda ww maana pia ni mwanamke ili ukachape kazi. Shubamiit.
Wameshakwenda sasa. Mezeni Nyembe.Hata mkiwafukuza uanachama ni sawa na bure. Maana hapa Tanzania. Speaker anapendekezwa na Rais/mwenyekiti wa chama. Jaji mkuu anateuliwa na Rais/mwenyekiti wa chama. Kwa taarifa yako JPM ndo katiba ndo sheria. Mnakumbuka yule mbunge wa Kutoka Mtwara mlivyomfukuza uaanachama what happened ?
 
Mkuu huu mchezo utaisha hivihivi kihuni, kitendo cha kutosoma,kusikia wala kumuona Mbowe popote kwenye hii ishu ya akina Mdee ni picha tosha ya kinachoendelea. Tatizo wafuasi wengi wa CHADEMA ni kama mna amini CHADEMA ilikuwa inapigania maslahi ya wananchi. Hapo ndo mlipokosea, Ila Mungu si Athumani hii ishu itawafumbua macho. Kama ya kubadili gia angani ya Lowassa haikuwafumbua macho.
Ccm inapigania nini nyambafuuu
 
Fukuzia mbali hiyo COVID-19!View attachment 1635835
Hili bango lina consequences zake kisheria. Mtanzania yeyote ana haki ya kufungua kesi kuhusiana na maandishi ya bango hilo na akasikilizwa. Hayupo mtu yeyote duniani au mtanzania yeyote ambaye anaweza akalingwanishwa na COVID 19. Huu ni ukiukaji mkubwa sana wa haki za binadamu, tena si kwa ngazi ya ki-Taifa tu bali pia kimataifa. Hiki chama sasa kinaanza kutafuta sehemu ya maziko yake, maana sasa hata ile hekima ya kawaida tu inaanza kukipiga chenga
 
Back
Top Bottom