Halima Mdee na wenzake 18 wagoma kufika Kamati Kuu ya chama kwa madai ya kupokea vitisho toka kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA

mi linalonihangaisha kwa sasa ni kutoka kwa majina ya ajira mpya za walimu wa msingi na sekondari tu.......nalitafuta jina la ndugu yangu silioni kabisaaaa, yupo benchi tangu 2018.

kuhusu hayo mambo yenu ya cdm na kina mdee nakuachieni......huko pekee ninachokikumbuka ni ile clip, iliyopata 'likes' nyingi sana humu ya mdee akiukaushia mkono wa bwana mashinji walipokutana pale mahakamani kwa mara ya kwanza baada ya mashinji kuhama chama!😁😁😁😁😁
 
Ni wapi uliposoma nimeandika "naogopa kuuliwa"?

Basi furahia hiyo "keki ya taifa" huku ukitafuta damu za waTanzania.
Nimekupa heshima usiyostahiri kwa kukujibu hapa; kwani wewe ni mpuuzi mmoja nisiyekuwa na muda wa kupoteza kujibishana naye.

Haya endelea kushangilia, na huenda mkaipata hiyo damu mnayoitafuta kwa udi na ubani. Na hata mkishaipata, hamtaridhika, bado roho zenu zitaendelea kuhangaika tu hadi mwisho wenu utakapowadia.
Ngoja nikupuuze tu maana kujadili na mtu ambaye anaona kila mwenye kutofautiana naye mawazo ni adui yake ni shida sana.

Jitu linafikiri kila anayemchallenge basi ni ccm,kumbe wengine hata huo upuuzi wenu wa ushabiki wa siasa zenu hizi hatuna kabisa.
 
Nimekusoma na kukuelewa vizuri mkuu 'The Palm Tree' katika mistari yote huko juu, isipokuwa huo mstari uliouweka mwisho kabisa.

Unajua dhahiri kwamba hapa tulipofikia hapawezi kamwe kuwepo na hicho kitu unachokiita "Mwafaka".

Mwafaka utoke wapi wakati mporaji ameridhika uporaji wake umefanikiwa? Iliyobaki sasa hivi ni kuwashughulikia kwa njia mbali mbali wote wasiokubali uporaji uliofanyika. Inashangaza kidogo kuona kwamba bado kuna watu wenye matumaini, wewe ukiwa mmoja wao.

Asante sana Kalamu1..

Nimeandika hivyo nikiamini kuwa mwisho wa majidai na sarakasi hizi za dola ni mezani tu kwa mazungumzo...

Inaweza isiwe leo ama kesho lakini itakuwa tu kwa nyakati kuwalazimisha kupatana na wanaowaona ni maadui zao...
 
Muda mfupi kabla Kamati kuu CHADEMA kuwahoji wanachama wake walioapishwa kuwa wabunge wa viti maalum, wanachama hao wamesisitiza kutotokea mbele ya kamati kuu wakidai kupokea vitisho toka kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA wakihofia usalama endapo watafika ofisi za chama hicho.
--
Awali Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA) leo waliandamana katika ofisi za Makao Makuu ya chama hicho zilizopo Kinondoni Dar es Salaam, kushinikiza kutowahitaji wabunge Halima Mdee, Ester Bulaya na wengine walioapishwa viti maalum.

Updates

PICHA: Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chadema wakiendelea na kikao hoteli ya Bahari Beach jijini Dar es Salaam cha kuwajadili Halima Mdee na wenzake 18 wanaotuhumiwa kwa usaliti wa chama kwenda kuapishwa kuwa wabunge wa viti maalum. #MwanaHALISIDigital https:View attachment 1635850View attachment 1635851View attachment 1635852View attachment 1635854
The CDM central committee convened at Bahari Beach in Dar city is in deadlock for proceeding to discuss set out agenda in the absence of the 19 special seat MPs who were informally summoned by the party for allegedly violating internal endorsement procedures prior being sworn in to participate the parliamentary session late in January 2021. The meeting is taking place behind the closed doors for security purposes and effectively control speculative outcomes.

The CC is eargerly awaited to unlock the stand-off on the purported controversial MPs special seats appointment legible to attend the parliament sessions after party's presidendtial contestant scooped almost 2ml votes as results pronounced by NEC.

The decision is projected to avoid relying on anger and happiness emotions as by doing so WISDOM and KNOWLDGE' may desert justice.
 
Ngoja nikupuuze tu maana kujadili na mtu ambaye anaona kila mwenye kutofautiana naye mawazo ni adui yake ni shida sana.

Jitu linafikiri kila anayemchallenge basi ni ccm,kumbe wengine hata huo upuuzi wenu wa ushabiki wa siasa zenu hizi hatuna kabisa.
Unajiandikia tu maneno bila kukumbuka uliyoandika huko nyuma? Hebu tulete historia ya michango yako hapa tuone ni nani mpuuzi kati yako na mimi? Sitajibishana tena na wewe, kwani huna sifa za kujadili chochote na mimi.
 
Asante sana Kalamu1..

Nimeandika hivyo nikiamini kuwa mwisho wa majidai na sarakasi hizi za dola ni mezani tu kwa mazungumzo...

Inaweza isiwe leo ama kesho lakini itakuwa tu kwa nyakati kuwalazimisha kupatana na wanaowaona ni maadui zao...
Ondoa kabisa matumaini hayo mkuu wangu 'Palm', hicho unachokitegemea hakiwezekani kabisa chini ya huyu.
 
Unajiandikia tu maneno bila kukumbuka uliyoandika huko nyuma? Hebu tulete historia ya michango yako hapa tuone ni nani mpuuzi kati yako na mimi? Sitajibishana tena na wewe, kwani huna sifa za kujadili chochote na mimi.
Ni kweli sina sifa za kujadili na wewe,maana wewe mpuuzi mie sio mpuuzi sasa hapo nimekosa kweli sifa za kujadiliana na mpuuzi kama wewe.
 
Kwahiyo Mdee alimfutia kesi Nusrat na kesho yake akaenda kuapa?

Hapo tu ndipo mlipoharibu movie nzima
Kama ni movie ndio inaanza. Iwapo umemsikiliza Mbowe kwa umakini, hoja za kuwavua uanachama COVID-19 zina mkanganyiko mzito. Ngoma inogile
 
Kama ni movie ndio inaanza. Iwapo umemsikiliza Mbowe kwa umakini, hoja za kuwavua uanachama COVID-19 zina mkanganyiko mzito. Ngoma inogile
Hata Zitto na Shonza mlisema hivo hivo..... Ila ndio imetoka hiyo.

Kwisha habari yao.... Btw hawana majimbo kwahiyo CCM watawaona liabilities tu.
 
Hata Zitto na Shonza mlisema hivo hivo..... Ila ndio imetoka hiyo.

Kwisha habari yao.... Btw hawana majimbo kwahiyo CCM watawaona liabilities tu.
Kufukuzwa mwanachama mmoja ni tofauti na wanachama 19 ambao walikuwa viongozi wa ngazi za juu katika chama.

Walipfukuzwa siyo tu kuwa walikuwa viongozi ni watu wazima waliojijengea heshima kubwa ndani na nje ya chama

Kwamba pamoja ns sifa hizo aiingii akilini kuwa wote wakiuke taratibu za chama za uteuzi.

NEC (Tume ya Taifa ya Uchaguzi) ni Taasisi yenye watu waliaminiwa kwa sifa zao za kitaaluma na uzoefu kuweza kufanya kosa hilo unalodhania

Kwa kuwa wahusika hawajasema lolote tusubiri kuwasikia na kuwasikiliza pia
 
Hawajakiuka sheria? Ssa kinachowafanya wakimbie kufafanua hili kwa kamati kuu ni nini?
Kuita waandishi hku ukijua kabisa kikanuni walipaswa wa appeal kwa baraza kuu alafu in turn wanaenda kuropoka nje ya framework ndio kanuni unazopigania humu? Ama paka iwe CHADEMA pekee
 
Mijitu humu yenyewe ndio wasaliti wakubwa kwakujificha humu JF wanashindwa kudai haki kwa vitendo,Mange alishaliona hilo na juzi kati Lissu nae kaliona hilo. Halafu leo unaenda kumwita Halima mdee msaliti!!!!!
Umetumia nguvu nyingi na gharama kuondoa wapinzani bungeni. Mwezi haujaisha unatumia nguvu nyingi na gharama kurudisha wapinzani bungeni. Halafu washangiliaji ni walewale (MATAGA). Uhakika sisi ni MATAHIRA ni mkubwa. Watafiti wafanye kazi kugundua classification yetu haraka.
 
Wakifukuzwa tu, watakimbilia Mahakamani, Korti itazuia Bunge kuwatimua, Speaker atatii kwa furaha kabisa
Hii tayari
watadunda Ubunge mpaka June 2025 huku kesi ikirushwa
Loading...
Humu katikati Dec 2020 - June 2025 hawa 19 na Kamati kuu watayajenga na kusameheana ili maisha yawe rahisi kwa kila mtu

Hizi ndizo siasa za Tanzania
Ngoja tuone kama watayajenga
 
Back
Top Bottom