Halima Mdee: Mifuko ya Jamii hoi, pensheni hatihati kulipwa

1000 digits

JF-Expert Member
Oct 16, 2012
4,503
2,000
Kosa kubwa walilofanya Chadema na Mbowe ni kuendelea kumweka Mbowe kwenye uenyekiti wa chama .
Binadamu tunapanda na kushuka.
Mbowe muda wake wa kungara uliisha 2014.

Kuongeza muda ndiko kulikoibua mgawanyiko ndani ya chama na kukifanya chama kurudi kuwa Chama cha kwenye briefcase.

Mutanielewa baada ya octoba.


Sent using Jamii Forums mobile app
 

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
8,829
2,000
20 Sep 2017
Mradi mkubwa wa ujenzi wa mji mpya wa Kigamboni Dar es Salaam uitwao Dege Eco Village ulioanzishwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya jamii 'NSSF' na kusimama ujenzi wake mwaka 2016 unapigwa mnada. Kuliripotiwa kuwepo kwa ufisadi wa zaidi ya TSH bilioni 179 katika mradi huo na sasa anatafutwa Mwekezaji atakaeuchukua.
Habari kumbukizi mwaka 2017, mradi wa Dege Beach Eco Village wapigwa mnada

Yono Auction Mart madalali maarufu Tanzania watangaza mnada wa mradi mkubwa baada ya NSSF kuishiwa fedha na hivyo mradi kukwama kuendelea.

Dhima ya mnada huo ni kupata mwekezaji awe wa ndani au nje ya nchi ili kuwezesha mradi huo uweze kukamilika.

Mradi huo una thamani wa USD 350 milioni hivyo anatafutwa mwekezaji kutia kiasi hicho cha fedha ili ukamilishwe kupitia mnada huo.

Kukamilika kwa ujenzi wa daraja la Kigamboni kulitegemewa kutasaidia pia uchochezi wa kiuchumi ktk mradi huo na maeneo ya Kigamboni, Dar-es-Salaam lakini wapi .
 

1000 digits

JF-Expert Member
Oct 16, 2012
4,503
2,000
Kosa kubwa walilofanya Chadema na Mbowe ni kuendelea kumweka Mbowe kwenye uenyekiti wa chama .
Binadamu tunapanda na kushuka.
Mbowe muda wake wa kungara uliisha 2014.

Kuongeza muda ndiko kulikoibua mgawanyiko ndani ya chama na kukifanya chama kurudi kuwa Chama cha kwenye briefcase.

Mutanielewa baada ya octoba.


Sent using Jamii Forums mobile app
 

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
8,829
2,000
November 2019
NSSF, NHC, WHC KAMILISHENI MIRADI YA NYUMBA KIGAMBONI -MAJALIWA
Waziri Mkuu afoka miradi ya Kigamboni

 

PTER

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
9,691
2,000
Kosa kubwa walilofanya Chadema na Mbowe ni kuendelea kumweka Mbowe kwenye uenyekiti wa chama .
Binadamu tunapanda na kushuka.
Mbowe muda wake wa kungara uliisha 2014.

Kuongeza muda ndiko kulikoibua mgawanyiko ndani ya chama na kukifanya chama kurudi kuwa Chama cha kwenye briefcase.

Mutanielewa baada ya octoba.


Sent using Jamii Forums mobile app
Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa CHADEMA ndiyo anayezuia serikali ya awamu ya tano isiwalipe wastaafu stahiki zao?

Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa CHADEMA ndiyo kilichosababisha serikali ya awamu ya tano kupandisha makato ya bodi ya mikopo kutoka 8% to 15%?


Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa CHADEMA ndiyo kinachosababisha ongezeko la mafukara wengi katika taifa eeh ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
8,829
2,000

20 Nov 2019
Serikali imetoa siku 14 kwa shirika la mfukowa hifadhi ya jamii NSSF kukamilisha miundombinu ya maji safi na maji taka pamoja na umeme kwenye nyumba za mradi wa shirika hilo zilizopo Kijichi na Twangoma jijini Dar es salaam ili wananchi waanze kuishi kwenye nyumba hizo.
 

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
8,829
2,000
November 26, 2019
Mradi wa Nyumba za gharama nafuu 480 Chanika Buyuni Ilala Dsm wamkera Waziri

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Watu wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama leo tarehe 26 Novemba, 2019 anatarajia kutangaza utaratibu mpya wa kununua Nyumba za gharama nafuu 480 za Mradi wa Buyuni zilizopo katika Halmashauri ya Wilaya Ilala, Chanika -Buyuni, Jijijni Dar es Salaam. Akiongea mara baada ya kumaliza kukagua mradi huo wa nyumba zinazomilikiwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), tarehe 25 Novemba 2019, Mhe. Mhagama amebainisha kuwa atatoa utaratibu huo mpya wa namna ya kununua nyumba hizo zilizo wazi ili wananchi waweze kunufaika kwa kupata makazi bora na salama. Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), unaratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu, na umeanzishwa na Sheria ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii ya mwaka 2018, Jukumu kuu la mfuko huo ni kukusanya michango na kulipa mafao ya kustaafu kwa watumishi wa umma.
 

mng'ato

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
23,687
2,000
Kosa kubwa walilofanya Chadema na Mbowe ni kuendelea kumweka Mbowe kwenye uenyekiti wa chama .
Binadamu tunapanda na kushuka.
Mbowe muda wake wa kungara uliisha 2014.

Kuongeza muda ndiko kulikoibua mgawanyiko ndani ya chama na kukifanya chama kurudi kuwa Chama cha kwenye briefcase.

Mutanielewa baada ya octoba.


Sent using Jamii Forums mobile app
Uzuri ni mbowe pia aliyefanya wastaafu wacheleweshewe mafao yao.
 

Tsitingile

Member
Sep 25, 2018
96
125
May 22, 2020
Bungeni Dodoma
Tanzania

DAKIKA 17 ZA HALIMA MDEE BUNGENI LEO

Mh. Halima James Mdee mbunge wa CHADEMA aichambua taarifa ya CAG aliyepita na CAG mpya ambao wote wameonesha jinsi taasisi kubwa kama Mifuko ya Jamii na National Housing kushindwa kujiendesha.


Mifuko ya Jamii ipo hoi na kuna hatari walengwa wa Mafao kupata tabu kulipwa stahili zao kwa wakati.

Pia shirika la Nyumba National Housing imefika kikomo cha kukopesheka yaani Bilioni 300 tayari shirika limekopa na kisheria haliruhusiwi kukopa na hivyo kushindwa kumaliza miradi yake kama ule wa Kawe jijini Dar es Salaam.

Mradi wa Kawe National Housing waTanzania wengi waliwekesha pesa zao mbele wakitengemea mradi huo wa Kawe ungekamilika na wakaweza kuhamia ktk apartments zinazoangalia fukwe ya bahari ya Hindi. Lakini mradi umesimama na waTanzania pesa hawajarudishiwa.
Source: millard ayo

More Info kuhusu mradi uliokwama:

Muonekano wa mradi wa Kawe ambao umekwama kutokana na National Housing kukaukiwa na pesa pia haliwezi kukopeshwa
Source : NHC Tanzania
Mirathi pia hawalipi, wanakula pesa za marehemu
 

Natafuta kiki

JF-Expert Member
Dec 27, 2016
676
1,000
Dah.....Kamanda wa kike huyu.....sina hakika iwapo atarudi...
Sisi huku mama lishe na machinga tegeta kwa ndevu mbona umetusahau..? Kila siku hoja ni mifuko mifuko...hlf baada hapo unageukia ATCL..hlf tena tunasikia uko kwenye kesi kisutu..ujue barabara zetu zingine hazipitiki...!!
Tena afadhali ya huko
Kwingineko ambako CCM ndio imedominate ni balaa tupu haki ya nani.
 

Kimbunga

Platinum Member
Oct 4, 2007
14,242
2,000
Kosa kubwa walilofanya Chadema na Mbowe ni kuendelea kumweka Mbowe kwenye uenyekiti wa chama .
Binadamu tunapanda na kushuka.
Mbowe muda wake wa kungara uliisha 2014.

Kuongeza muda ndiko kulikoibua mgawanyiko ndani ya chama na kukifanya chama kurudi kuwa Chama cha kwenye briefcase.

Mutanielewa baada ya octoba.


Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu una hoja ya uhakika. Mbowe angetoka mwaka huo akaruhusu damu mpya asingekuwa anapata shida hizi. Mwaka jana aliogopa kutoka kwa sababu aliona akitoka watasema anakimbia baada ya kuona chombo kinaenda mrama; akajiapiza kwamba wacha kimfie tu. Kweli naona CHADEMA kinakata roho mikononi mwake.
CHADEMA ilikuwa na historia nzuri ya kurithishana madaraka kuanzia Mzee Mtei na Bob Nyanga Makani. Pia akina Mzee Brown Ngwilulupi. Alivyoingia Mbowe sijui kabadili Makamo Wenyeviti wangapi? Makatibu wangapi lakini YEYE YUPO! Kamkuta Kabourou, kaondoka yeye yupo! Kaja Slaa kaondoka Mboqe yupo! Kaja Mashinji katoka Mbowe yupo!!! Chacha Wangwe, kaja kaondoka; MBOWE YUPO! Mzee Arfi kaja kaondoka, MBOWE YUPO! Kaja Prof Safari kaondoka, MBOWE YUPO!! Lowassa kaja kaondoka, Mbowe yupo! Sumaye kapita, Mbowe YUPO!
 
Top Bottom