Halima Mdee Live Ndani ya Ukonga Jumapili hii...

hakika ukombozi wa kifikra una karibia....
 
Vipi mkutano huku Ukonga mkutano umedoda wekeni picha basi au mnasubiri Makene azichakachue picha.

Ritz picha ndo hizo,sasa hivi kamanda Kilewo yuko jukwaani anahutubia.ni kamanda mliempa kesi ya ugaidi.
 

Attachments

  • 1389538509513.jpg
    111.2 KB · Views: 185
  • 1389538528470.jpg
    121.5 KB · Views: 158
  • 1389538554171.jpg
    101.3 KB · Views: 148
  • 1389538573699.jpg
    100.5 KB · Views: 139
  • 1389538599489.jpg
    100 KB · Views: 156
Watu wanaendelea kununua kadi, kumbukeni chadema hatugawi kadi burn,hela ndo hizo kamanda ameshikilia fedha.
 
Kamanda Kilewo anawaliza watu baada ya kutoa historia ya kamanda mmoja waliekuwa nae gerezani Tabor a,ambae aliteswa na askari, wakampiga shoti sehemu zake za siri na kusababisha sehemu zake kutokufanya kazi.watu wamesikitika, na wengine wamelia kwa uchungu.
 
Kilewo anaendelea kuwaomba watu wazidi kuwa na ushirikiano, anasema hatuwezi kugawanyika kwa ajili ya wasaliti ambao wanadhani wao ni maarufu kuliko chadema.
 

Attachments

  • 1389539378587.jpg
    128.3 KB · Views: 122
  • 1389539428454.jpg
    101.1 KB · Views: 115
  • 1389539450400.jpg
    84.9 KB · Views: 111
Kilewo anasisitiza, tukukubali propaganda za kipuuzi na tukakubali kuisambaratisha chadema,nchi hii itawagharimu miaka mingine ishirini au zaidi kujenga taasisi imara ya chama cha upinzani,ambayo itawagharimu watu pesa zao, maisha yao, uhai wao, ndoa nzao, mali zao . hivyo tu sikubali kugawanyika,zaidi tuungane kukijenga Chama.
 
Nipo kigoma leo makanda dah! Hakika chadema inatisha zitto kwisha habari habari yake, ni chadema ni msingi kila sehemu.
 
Nipo kigoma leo makanda dah! Hakika chadema inatisha zitto kwisha habari yake, ni chadema ni msingi kila sehemu.
 

- Kama kawaida na washauri wenu wabovu, leo Ukonga nzima kuna msiba mkubwa sana wa msichana aliyefariki huko USA nimetoka huko sasa hivi wanamzika leo sasa hivi, wewe unaenda kuweka mkutano hapo hapo na hawa Viongozi wenu wa Taifa wanaopokea rushwa toka kwa viongozi mafisadi wa CCM, kweli akili ni nywele!!

Le Mutuz
 
Watu wa kila kundi wamehudhuria, hata wale wapiga propaganda za udini,wajifunze.
 

Attachments

  • 1389540508224.jpg
    96.8 KB · Views: 122
  • 1389540536240.jpg
    110.9 KB · Views: 118
Vipi mkutano huku Ukonga mkutano umedoda wekeni picha basi au mnasubiri Makene azichakachue picha.

Utomaso utakumaliza huamini mpaka uone kwa macho atakuja ona visivyo onwa ukapofuka macho shaurilo.
 
hebu tuleteeni hotuba ya halima mdee tujue msimamo wake suala la zito hatutaki kumsikia huyo kifaranga msukule wa slaa na mbowe henry kilewo
 

.
Aisee inafurahisha sana kuona kila mtanzania anatambua na kukiri kwamba watoa rushwa wote ni ccm hata Le Mutuz anakiri hilo.
.
 
Kiukweli nilikuwa sijui uwezo wa kamanda kilewo wa kujenga hoja nilikuwa mshabiki tu... ila leo nemkubali dogo anaonge kwa mamlaka na anajua kujenga hoja sijawahi ona na hoja hizo zilikuwa zinajengwa na akina steve biko,martin luther nk.. na amewatimia watu hawo kwenye mkutano wake, hongera sana mdogo wangu Henry Kilewo hakika sasa hakuna wakukuzuia kuusema ukweli kwa mujibu wa hutuba yako mungu akubarili sana...
 

Tulia wewe kubwa jinga ungesikia hutuba ya kamanda kilewo ungejiona m.c.h.u.m.b.a sana kuongea upuuzi hapa... kubwa.. j.i.n.g.a kama wewe.. hongera Kilewo wewe ni level zingine...
 
kawe kwenyewe anatafutwa aonekani, tunasubilia sanduku la vote ili tumuonyeshe atuchagui chama, tunaangalia uwezo wa mtu. ngoja tumpe mbatia, tulifanya ujinga wakati wa kwenda, na hatutofanya ujinga huo wakat wa kurud

Wewe kura yako kampelekee huyo mbunge wa kikwete, huna lolote
 
Cdm juuuuuuu.......juuuu....zaidi.....mabadiko ya haraka tuyafanye mafisadi wapigwe vita tuyatokomeze.
 

Yaani wewe ni mburula kabisa na hii yote ni kwakuwa ulipata zero kidato cha nne kwhiyo huna akili ya kujadili mambo makubwa kama haya.

Wewe unafikiri Ukonga ni sawa na kijiji cha Mtera kwamba akifa mtu lazima wote wafahamu? nilimuona mbunge wenu mburula Mama Mwaiposa alipita Mombasa tulipokutana nae na benderra zetu akakimbia kuingia uchochoroni na kutuachia barabara tunatamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…