Vipi mkutano huku Ukonga mkutano umedoda wekeni picha basi au mnasubiri Makene azichakachue picha.
Salam wadau wa JF.
Ningependa kuwafahamisha kuwa kesho Jumapili ya tarehe 12/01/2014 kutakuwa na mkutano wa hadhara utakaofanyika mtaa wa MAZIZINI Kata ya UKONGA Jimbo la Uchaguzi la UKONGA.
Mkutano huo unatarajiwa kuanza muda wa saa Nane kamili mchana katika viwanja vya ofisi ya Serikali ya Mtaa wa Mazizini iliyopo karibu kabisa na ofisi ya CHADEMA Tawi la MAZIZINI.
Mgeni wa heshima katika mkutano huo anatarajiwa kuwa kamanda Halima Mdee (Mbunge wa Kawe), ambaye ataambatana na Kamanda Henry Kilewo (Katibu wa Chadema Mkoa wa Kinondoni).
Wadau wote wa kata ya Ukonga na maeneo ya jirani mnakaribishwa mje kumsikiliza Waziri Kivuli wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi akizungumzia mambo mbali mbali ya kitaifa hususan migogoro ya ardhi ambapo mitaa miwili ya kata ya Ukonga-Mtaa wa Mazizini na Mtaa wa Mongolandege kuna kashfa za kuuzwa kwa ardhi ya wananchi (eneo la ofisi za serikali za mitaa), ambazo zimeuzwa na wenyeviti wa mitaa husika ambao wote ni wanachama wa chama kile kile cha mafisadi, wezi na wabakaji.
PEOPLESSSSSS....POWERRRRRR!!!
Vipi mkutano huku Ukonga mkutano umedoda wekeni picha basi au mnasubiri Makene azichakachue picha.
- Kama kawaida na washauri wenu wabovu, leo Ukonga nzima kuna msiba mkubwa sana wa msichana aliyefariki huko USA nimetoka huko sasa hivi wanamzika leo sasa hivi, wewe unaenda kuweka mkutano hapo hapo na hawa Viongozi wenu wa Taifa wanaopokea rushwa toka kwa viongozi mafisadi wa CCM, kweli akili ni nywele!!
Le Mutuz
Kiukweli nilikuwa sijui uwezo wa kamanda kilewo wa kujenga hoja nilikuwa mshabiki tu... ila leo nemkubali dogo anaonge kwa mamlaka na anajua kujenga hoja sijawahi ona na hoja hizo zilikuwa zinajengwa na akina steve biko,martin luther nk.. na amewatimia watu hawo kwenye mkutano wake, hongera sana mdogo wangu Henry Kilewo hakika sasa hakuna wakukuzuia kuusema ukweli kwa mujibu wa hutuba yako mungu akubarili sana...Kilewo anasisitiza, tukukubali propaganda za kipuuzi na tukakubali kuisambaratisha chadema,nchi hii itawagharimu miaka mingine ishirini au zaidi kujenga taasisi imara ya chama cha upinzani,ambayo itawagharimu watu pesa zao, maisha yao, uhai wao, ndoa nzao, mali zao . hivyo tu sikubali kugawanyika,zaidi tuungane kukijenga Chama.
- Kama kawaida na washauri wenu wabovu, leo Ukonga nzima kuna msiba mkubwa sana wa msichana aliyefariki huko USA nimetoka huko sasa hivi wanamzika leo sasa hivi, wewe unaenda kuweka mkutano hapo hapo na hawa Viongozi wenu wa Taifa wanaopokea rushwa toka kwa viongozi mafisadi wa CCM, kweli akili ni nywele!!
Le Mutuz
kawe kwenyewe anatafutwa aonekani, tunasubilia sanduku la vote ili tumuonyeshe atuchagui chama, tunaangalia uwezo wa mtu. ngoja tumpe mbatia, tulifanya ujinga wakati wa kwenda, na hatutofanya ujinga huo wakat wa kurud