Halima Mdee Live Ndani ya Ukonga Jumapili hii...

Halima Mdee Live Ndani ya Ukonga Jumapili hii...

Halima ni kamanda wa ukweli xana hawezi kumsapoti msaliti au ww unataka kila m2 awe msemaji wa chama?
 
Ahsanteni sana makamanda tuko pamoja sana. Sisi huku Ukonga tunpiga kazi tu majungu ni huko huko Lumumba.

Safi sana, hakuna kulala popote ulipo waambie watu wahakikishe wanajiandaa kufanya mageuzi. HII NDIO KAULI MBIU YA MWAKA 2014

Ninaposikia kamanda Mdee yupo na Kamanda mpole ila usijisogeze kwenye anga zake kamanda Kilewo najua hapo mtatamani mkutano usiishe...

pamoja sana makamanda...

Hayo ndo maneno sasa, lazma watu waelezwa uhusiano uliopo kati yao na matatizo yao ya kila ck na utendaji wa kifedhuli Wa srkl ya maccm

huyu bidada cjamsikia Siku nyingi jukwaani,kesho ntajongea pande hizo

Aisiiii lazima niingize timu! yaaani Mdeee! acha kabisa.

Nitakuja kumuangalia kamanda Kilewo maana ni siku nyingi kitambo toka atoke Jela sijahudhuria mikutano yake zaidi ya kuambia.

Khaa!! Mie nitatia timu. Naipenda sana sauti yake.

Asante sana.Tutajitahidi kuwepo.

Kamanda katatue kero za wananchi kwani TZ haki ni ngumu sana kupatikana. Watu wanafuatilia hati zao wizarani mwaka hadi mwaka utatusaidiaje kamanda?
 
Ebu muulize mbunge wetu Halima Mdee vipi amepotea jimbo mpaka aende Ukonga wakati Kawe tunamtafuta.

We na uhakika hata dar hujui ilipo. Unakula mdomo kama mtoto wa kike 😱
 
shekh juma mwipopo (katibu wa jimbo la ukonga) atakuwepo ktk kuvunjavunja propaganda uchwara za udini zinazoenezwa na mufilisi wa siasa zenye mashiko(ccm na vijibwa koko vyake "pappets"). wahi mapema usisubiri scandinevia express, wapigania uhuru hatuna!!!.
 
Makamanda poleni sana zito zuberi kabwe anawapeleka puta!!
 
Salam wadau wa JF.

Ningependa kuwafahamisha kuwa kesho Jumapili ya tarehe 12/01/2014 kutakuwa na mkutano wa hadhara utakaofanyika mtaa wa MAZIZINI Kata ya UKONGA Jimbo la Uchaguzi la UKONGA.

Mkutano huo unatarajiwa kuanza muda wa saa Nane kamili mchana katika viwanja vya ofisi ya Serikali ya Mtaa wa Mazizini iliyopo karibu kabisa na ofisi ya CHADEMA Tawi la MAZIZINI.

Mgeni wa heshima katika mkutano huo anatarajiwa kuwa kamanda Halima Mdee (Mbunge wa Kawe), ambaye ataambatana na Kamanda Henry Kilewo (Katibu wa Chadema Mkoa wa Kinondoni).

Wadau wote wa kata ya Ukonga na maeneo ya jirani mnakaribishwa mje kumsikiliza Waziri Kivuli wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi akizungumzia mambo mbali mbali ya kitaifa hususan migogoro ya ardhi ambapo mitaa miwili ya kata ya Ukonga-Mtaa wa Mazizini na Mtaa wa Mongolandege kuna kashfa za kuuzwa kwa ardhi ya wananchi (eneo la ofisi za serikali za mitaa), ambazo zimeuzwa na wenyeviti wa mitaa husika ambao wote ni wanachama wa chama kile kile cha mafisadi, wezi na wabakaji.

PEOPLESSSSSS....POWERRRRRR!!!
Atatumia mkutano huo kutangaza nia yake ya kujitoa chadema?
 
Last edited by a moderator:
Nimepita mombasa nikiwa nakwenda moshi bar jamani zile bendera zenu kuna sehemu zimebakia nyuzi nyuzi tu ndo zinapepea utadhani Tandu za buibui. Ndo mambo ya ruzuku matawi ya juu tu nini?
 
Katika mkutano huo atatangaza nia yake ya kujitoa CDM?
 
Nimepita mombasa nikiwa nakwenda moshi bar jamani zile bendera zenu kuna sehemu zimebakia nyuzi nyuzi tu ndo zinapepea utadhani Tandu za buibui. Ndo mambo ya ruzuku matawi ya juu tu nini?
POLE NDUGU YANGU KWA KUFANYA KAZI YA REDET. Endelea kupima idadiya wanachama wa cdm kwa kutumia usafi wa bendera na peleka taarifa Lumumba buk 7,cdm inasonga mbele.
 
Nimepita mombasa nikiwa nakwenda moshi bar jamani zile bendera zenu kuna sehemu zimebakia nyuzi nyuzi tu ndo zinapepea utadhani Tandu za buibui. Ndo mambo ya ruzuku matawi ya juu tu nini?

Ikifika saa nane usibaki huko moshi bara jisogeze Mazizini umsikie waziri kivuli wa ardhi, nyumba na maendele ya makazi anavyomwaga sera.
 
Nipo tayari eneo la mkutano namuona kamanda Henry Kilewo na Mratibu wa kanda ya pwani wapo eneo la tukio ila tukio pekee nilakamanda kilewo alipo ingia alishangiliwa sana na alipokelewa na wanabodaboda wasiyopungua 200 na kisha kufungua ofisi ya tawi....
 
Hapa ukonga kimenuka chama cha wananchi kinawaeleza ukweli na ufisadi unaifa nywa na uongozwa na
 
Kwasasa anaongea Richard aliyekuwa mgombea wa chadema 2010 nafasi ya udiwani
 
Mgombea wa chadema 2010... anasema amewachukulia hatua viongozi kadhaa wa serikali akiwamo mkt wa mtaa gongo la ndege na mtendaji kwa kuuza maeneo yawazi .. na tayari mtendaji wa kata amekwisha ondolewa
 
Vipi mkutano huku Ukonga mkutano umedoda wekeni picha basi au mnasubiri Makene azichakachue picha.
 
Kwa maelezo haya sasa bwana zzt hana lake makamanda wametumwa kummaliza kabisa.hapa mazizini wameelezwa ukweli kuhusu bwana huyu msaliti.
 
Back
Top Bottom