Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,993
Salam wadau wa JF.
Ningependa kuwafahamisha kuwa kesho Jumapili ya tarehe 12/01/2014 kutakuwa na mkutano wa hadhara utakaofanyika mtaa wa MAZIZINI Kata ya UKONGA Jimbo la Uchaguzi la UKONGA.
Mkutano huo unatarajiwa kuanza muda wa saa Nane kamili mchana katika viwanja vya ofisi ya Serikali ya Mtaa wa Mazizini iliyopo karibu kabisa na ofisi ya CHADEMA Tawi la MAZIZINI.
Mgeni wa heshima katika mkutano huo anatarajiwa kuwa kamanda Halima Mdee (Mbunge wa Kawe), ambaye ataambatana na Kamanda Henry Kilewo (Katibu wa Chadema Mkoa wa Kinondoni).
Wadau wote wa kata ya Ukonga na maeneo ya jirani mnakaribishwa mje kumsikiliza Waziri Kivuli wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi akizungumzia mambo mbali mbali ya kitaifa hususan migogoro ya ardhi ambapo mitaa miwili ya kata ya Ukonga-Mtaa wa Mazizini na Mtaa wa Mongolandege kuna kashfa za kuuzwa kwa ardhi ya wananchi (eneo la ofisi za serikali za mitaa), ambazo zimeuzwa na wenyeviti wa mitaa husika ambao wote ni wanachama wa chama kile kile cha mafisadi, wezi na wabakaji.
PEOPLESSSSSS....POWERRRRRR!!!

Mi ninavyojua HALIMA MDEE yupo upande wa ZITTO na ndio maana siku zote za vurugu ndani ya CDM hakutaka kujishughulisha kabisa.
Ha ha haaaaa…nimeipenda hiiKafie mbele huko hapa hatumzungumzii zzk habari imekwisha isha yeye sasa ni mbunge wa mahakama na ni mwanachama wa mahakama, unakata kumlinganisha na hawa makamanda? Aisee nakuonea huruma unavyoumia ulidhani angeweza kupambana na nguvu ya umma
Khaa!! Mkitajiwa ZZK tu nya inagonga chupiz. Jembe hili litawaua kwa pressure. Na bado mtaona mziki wake soonKafie mbele huko hapa hatumzungumzii zzk habari imekwisha isha yeye sasa ni mbunge wa mahakama na ni mwanachama wa mahakama, unakata kumlinganisha na hawa makamanda? Aisee nakuonea huruma unavyoumia ulidhani angeweza kupambana na nguvu ya umma