Halima Mdee huyu ni Binti niliyempenda katika maisha yangu.

Halima Mdee huyu ni Binti niliyempenda katika maisha yangu.

Doto12

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2023
Posts
752
Reaction score
1,338
Halima Mdee nilimfahamu akiwa tayari amejiunga na CDM ni mwanamama nilimpenda sana japo hajui.
1000044347.jpg

Miaka flan huko nilijiunga na chuo flan dodoma lengo nimuone Kwa ukaribu.

Kuna wakati alikuwa akinunua matunda sehemu flan Dodoma na mimi nikasogea kununua matunda wakati sikuwa na bajeti nayo.

Nilimpenda sana ingawa hajui hadi Leo.

Miaka ilivyosogea nikahamia kwa miss Tanzania wa mwaka 2003 wanaojua watamfamu. Hawa ni wanawake wa type tangu.
1000044349.jpg



Nilisoma darasa moja na miss Tanzania wawili wala hawakunivutia sitawataja. Ila Halima na Sylivia wamekuwa warembo wangu.

Sylivia pamoja na kuwa maarufu nchini na dunian Hana picha nyingine mitandaini. Hawa wote ni wasomi katika Sheria. Mh Halima una hekima Mungu akujaalie. Sylvia you're beautiful
 
Back
Top Bottom