Halima Mdee: Bold and Beautiful!

mimi ni mkazi wa kawe kura yangu na ya mke wangu amepata....anadeserve kwa kweli.....
ila kibarua kikubwa ni kummwaga mzee wa NCCR...naona amezindua matawi jimboni kawe na sio sehemu zingine kumbe alikuwa ana malengo binafsi sio ya kichama zaidi.....

Mbatia ni kibaraka tu. Anafikiri kuwa mwanaume ndio kushinda!
 
ACHENI MAMBO YA SIASA NA DEBE,ningependa kujua ameolewa?
Na je kama ameolewa anaishi vipi na mumewe?Je anafamilia?
Baada ya hapo tujadili sasa uwezo wake kiuongozi

Hayo ni maswali ya mchungaji ambaye anataka kumpokea kondoo mgeni kwenye kanisa lake.
 

Ndio maana nimesema Mbatia ni kibaraka tu, ila Mdee anatufaa sana Kawe.
 
Mbatia ni kibaraka tu. Anafikiri kuwa mwanaume ndio kushinda!


Yap!

Wa ukweli sana huyu binti.

Kwa wanamapinduzi, hiyo ni hazina kubwa kwa Tanzania isiyo na rushwa.

Ninamuombea kwa Mungu usiku na mchana ashinde ubunge akawakilishe wananchi.
 
Lakini hata akishindwa Dr. Slaa kama Rais atamteua kuwa Mbunge.
 
Kuna mmoja ameshashtakiwa kwa kuleta upupu wa north mara na ushahidi unatumika michango ya watu mbalimbali waliyochangia watu hao
 
Kuna mmoja ameshashtakiwa kwa kuleta upupu wa north mara na ushahidi unatumika michango ya watu mbalimbali waliyochangia watu hao
Peleka, ujinga wako huko wanabidii na siyo hapa.... Hivi ni kwa nini unapenda kutisha watu sana? au kwa kuwa umepewa mlungula wa kupiga kampeni kwenye ka-google group kako? eeeh hivi umejiuzulu kuendesha kale ka group?
 
Mimi sisemi, ila kuwa makini ni muhimu tutukanane sisi lakini tusihusishe wengine!!!!😛eace:
 

Jamani ameolewa huyu???? Natafuta mchumba, nataka nijidai na mheshiwa waziri
 
huyu sidhani kama anaoleka

huyu wa kuishi nae na kumuacha, watu wake ni kama akina slaaa
 

[B[/Huyu anao uwezo.She is beauty and brains. And she is very calm nowadays,siyo kama zamani. Mimi nipo Kawe. Natamani awe mbunge wangu.
 
Nampenda huyu dada,, kwanza anajiamini sana na vile vile ni mzuri..

Nadhani kila mwanaume angependa kuwa naye huyu na siyo kwa kumchezea bali kama mke mwema..

wana kawe mpeni huyu dada kura zenu....
 
Mzuri! hana sura ya uongozi Ameka ki bongo Flava zaidi kama SUGU ! namshauri ASUBIRI KWANZA MUDA WAKE UTAFIKA
 
olololo sikuwahi ku-imagine kuwa wabongo wana high doses of chauvinism.
 
.
Maane umnesema kweli, hawa wapinzani natamani nichukue nyundo niwagonge vichwa vyao wauone ukweli wa umuhimu wa kuungana. Wanamalizana wao kwa wao kama vita vya panzi atakayefaidika ni kunguru tuu!
 
Since hatuwezi kumuongelea mtu mke bila kutaka kumuoa na basically kutaka kumpigia puli waziwazi. I will reluctantly say my piece.

She looks like a dyke, of course nothing wrong with that for me if that's what she is and wants. I am more like "Amefanya nini bungeni ?"
 
Kuweka post kila kona si hoja. Hoja ni kugawana kura na Mbatia. Hivi huyu Mbatia akili zake bado zinafanya kazi sawa kweli, hasomi alama za nyakati bwana ntoke vipi? Hii sio 1995 bana.

Ana akili timamu tatizo lake kubwa ni chama chake cha NCCR ambacho kimefulia. Si unaona hata mwanzilishi wa chama hicho Mabere Nyaucho Marando ametimka. Yaani ni sawa na Edwini Mtei atimke CHADEMA na kuijunga na chama kingine cha upinzani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…