Halima Mdee atiwa Mbaroni, apelekwa Central Police

Halima Mdee atiwa Mbaroni, apelekwa Central Police

Hiv hum jf kunawatoto wengi au ufaham umepungua? Mtu anakurupuka tu ooo .... kakamatwa, so wht? Leten taarifa vivid, au hata sheria za jf hamkosama wakati mnajiunga?

Huyu mleta taarifa, anapaswa kujua hapa siyo fb, kule unakuta mtu kaweka picha, halafu anaandika type 1 to see the difference, halafu watu wanaanza kuandika 1, asee hyo akili au matope? Kunasiku watu wataambiwa kula m.vi watu wata...,

Ni vyema hata kama huna uhariri tafuta chanzo, walao na vivid chache, kisha utoe taarifa, sasa ww unakurupuka tu kama unapiga chafya...
Punguza mizuka. Hakuna mtu anayelipwa hapa kwa kutoa hata clue ya habari au tukio. Kama unaona kilochotolewa kwa uchache wake hakikutoshi nenda kwenye vyanzo vingine. Kwani umeambiwa taarifa hiyo lazima uipate JF peke yake? Learn to appreciate brah!
 
Hahahaha hahaha Mkuu umeuaaaa
Punguza mizuka. Hakuna mtu anayelipwa hapa kwa kutoa hata clue ya habari au tukio. Kama unaona kilochotolewa kwa uchache wake hakikutoshi nenda kwenye vyanzo vingine. Kwani umeambiwa taarifa hiyo lazima uipate JF peke yake? Learn to appreciate brah!
 
Vipi Fisadi Lowasa wamebeba pia? Kwani naisubiri kwa hamu sana hiyo siku atakavyopigwa Tangayika na mbata juu kuingizwa kwenye karandinga mpaka Segerea dadadeki!

Hata mimi naisubiri sana siku hiyo. Lakini tatizo ninaloona ni dhahiri kuwa wote wanaotakiwa kutumbua jipu la Lowasa wana majipu ya uhakika. Vinginevyo mbona kigugumizi na kwikwi nyingi muda wote huu? Halafu kama ushahidi wa jipu la Lowasa unaotegemewa ni kutoka CHADEMA, basi hizo ni porojo za mitaani. Tukubali tu kuwa Lowasa hakamatiki.
 
CCM wanafikiri lini Wabunge wa Ukawa watapungua ili washinde¿¿¿
 
Wanakamatwa kwa kosa gani kiufupi habari haijajitosheleza
 
vipi huyo mama aliyekuja kuwabeba ccm wasio bebeka hajavujwa pua na HALIMA??
 
Kaimu Mkurugenzi wa Jiji ameahirisha Uchaguzi wa Meya na Naibu Meya wa jiji bila sababu za msingi.
Pia, Polisi wamemkamata Halima Mdee na yuko Central Police".
"Democracy at Limbo"
Mtatiro J.
Democracy ya kupiga vibao?
 
Just Like Mohamed Mosi Failed to lead Egypt after he won big, and the country endup being taken by General Asisi, it is the same in Tanzania. If Magufuli thinks that he only need to be an Angel when it comes to the Economy and social services and A Devil when it comes to Democracy, justice, human rights and respect for elections (will of the people) he will soon fail upside down! An Angel and the Devil don,t reside in one Man! Mawili Utamkumbatia Shetani (Mti wa Mema na Mabaya) au Umkumbatie Mungu uwe (Mti wa Mema na Uzima kwa Tanzania) Magufuli, Nakuambia Mheshimiwa Rais at the End of the Day Polisi wako chini yako. Hutakwepa lawama na hata pengine adhabu wanapotumika. Kama Unasoma Jamii forum jua Watanzania wengi wanakupenda na wanakuheshimu, Ila Ukitaka Upendo na heshima hii iendelee, be independent, TELL MKAPA AND KIKWETE to STAY AWAY! am very serious Yesu alimwambia Tajiri Uza Vyote Unifuate. Mimi nakushauri Achana na hawa Mabwana na Kisha maombi unayoyataka yatafanya Kazi.
I think u've hit the nail on the head. Huwezi kuwatumikia mabwana wawili!
 
Back
Top Bottom