Halima Mdee atiwa Mbaroni, apelekwa Central Police

Halima Mdee atiwa Mbaroni, apelekwa Central Police

Trump hakukosea kwa kusema mtu mweusi bado anahitaji kutawali tena. Kwa mtindo huu hakuna demockrasia ila ni ubakaji wa demokrasia uliosababishwa na uroho wa madaraka na chama cha majambazi na fujo maccm.

huyu Trump anasema kweli...sijui kwann wanamwona tahira
 
Lock ....hela kitu gani hata wakina Mandela wamekaa na wametokea kuwa watu waliyoheshimika duniani!
Nyie gamba sungura tope mtakuja kiona cha moto tu one day
 
Ninahisi hichi ndicho kilichokuwa kina wapeleka kina Mkapa na Kikwete ikulu, kumshurutisha Magufuli lazima ahakikishe meya wa jiji la Dar anatoka ndani ya ccm, kwa hila zozote, shame on them, halafu Magufuli anajinasibu hapa kazi tu, kazi zitaendaje na figisu figisu za kijinga hivi?
...acha kuhisi,tafuta 'hakika'!
 
Naona heshima
Inahitajika
Mdee Sio muda wa kuchekacheka na Nyani
 
Lamli ndio nini? Au unamaanisha ramli?

Nimecheka sana. Ndugu yangu, usishangae kwani humu ndani ya JF ni mchanganyiko wa watu wengi. Baadhi hawajui kabisa lugha achilia mbali English lakini hata Kiswahili hawajui pia. Na usidhani kuwa alikosea spelling kwa kuandika lamli. Yeye kwake 'ramli' ndiyo 'lamli'.
 
Vipi Fisadi Lowasa wamebeba pia? Kwani naisubiri kwa hamu sana hiyo siku atakavyopigwa Tangayika na mbata juu kuingizwa kwenye karandinga mpaka Segerea dadadeki!
utasubiri sana ....yaani ma CCM mnashangaza sana kwa kutokujua hata JPM ni teamlowasa
 
cc MOTOCHINI
 
Viongozi wa CHADEMA wamekamatwa, akiwemo Halima Mdee na kupelekwa kituo cha Polisi Central, Viongozi wa CHADEMA nao wameenda pamoja naye

Kati ya mabo ambayo ni aibu na yanaashira lack of civilization ni kwa wanasiasa wetu ni huu uchaguzi wa Meya wa JIJI. It is absolutely incredible how can learned people try to do this. Hata kama Mwanasheria mkuu wa serikali, Jaji Mkuu, na Raisi hawausiki na jambo hili they need to intervene waondoe aibu hii. Hivi kuna haja gani ya kuendelea kujitamba kuna Vyama vingi kama leo hatutaki kuheshimu uchaguzi wa wananchi wa Dar es Salaam. Kwa haya wanayoyafanya lakini ndiyo wanajichimbia kaburi kabisa
 
Back
Top Bottom