Hiv hum jf kunawatoto wengi au ufaham umepungua? Mtu anakurupuka tu ooo .... kakamatwa, so wht? Leten taarifa vivid, au hata sheria za jf hamkosama wakati mnajiunga?
Huyu mleta taarifa, anapaswa kujua hapa siyo fb, kule unakuta mtu kaweka picha, halafu anaandika type 1 to see the difference, halafu watu wanaanza kuandika 1, asee hyo akili au matope? Kunasiku watu wataambiwa kula m.vi watu wata...,
Ni vyema hata kama huna uhariri tafuta chanzo, walao na vivid chache, kisha utoe taarifa, sasa ww unakurupuka tu kama unapiga chafya...