james mtemi
Member
- Sep 25, 2014
- 24
- 1
halima atachomoka 2 kwani kwenda sero ni kufungwa hata ww unaweza kupelekwa nchi yenyewe hii isiyofata utawala wa shelia shauli yoko
Kwani maabusu ni wapi na jela ni wapi ?.Tumia akili basi kidogo kufikiri!!!!!.
Siyo mara moja sema coz bado huja kauka nepi ungejuwa wachiye watu wazima ngoma ya kitoto haikeshiHivi mbowe alishawahi kukaa mahabusu kwa ajili ya chadema? Mbowe alishawahi hata kunaswa vibao kwa ajili ya chadema?
Kwani leo ndio alikwenda mahakamani?ni kesi hii ya kuandamana mpaka magereza?Mkt wa Bawacha Taifa na Mbunge wa Kawe Mhe. Halima mdee Amepelekwa maabusu jioni hii. Anatarudishwa mahakamani hapo kesho.
Makamanda kesho tuende mahakamani kwa uwingi kuichukua haki yetu.
Sipati picha mheshimiwa Mbunge akinyea debe na kubeba mtondoo
Acha apelekwe,maana anajidai yupo juu ya sheria,huyu kasoma sheria ila hajui kuiaply.Maandamano yalikatazwa yeye kayaitisha,si uchochezi huo,akitoka huko atakuwa kajifunza
Kwani wewe unajiona je..?! Huoni huo ukunguru wako..halima anapigania tunu za taifa, upunguzaji wa madaraka ya rais ili kuleta ufanisi, anapigania wabunge wachaguliwa waliosoma, anapigania baraza dogo la mawaziri lenye tija na ufanisi, anapigania ukomo wa mawaziri, anapigania haki za vijana na akina mama..nk ndicho anachopigania..wewe jifiche chini ya uvungu, na akili yako wape akina sita ubaki na timbo na makalio kufikiria..lakini najua kizazi chako kitakuja kufurahia matunda lkn watajua tulikua na babu muoga anapiganiwa haki zake na wanawake..babu ambaye akisikia polisi na jela anataka kujinyea
Bora afungwe kabisa......yaani ikiwezekana serekali imuweke mfuko wa nyuma kabisa, asiishie kwenye mfuko wa shati.
Tangu lini mbunge akawa msela???? Mdeee anajifanya msela wa kike sasa kakutana na makamanda ambao hawajui kulemba katembezewa virungu vya mgongoni huku akipanda kwenye difender chezea vyombo vya dora wewe
amemkuta shekhe ponda wanyee ndoo pamoja. nyambafu