nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,628
Ccm bila kubebwa na mapolis hawana ubavu, wao wanategemea wapinzani wao wadhibitiwe na mapolis ili wao wapate upenyo wa kutamba kisiasa.
Unadhani mnaweza kuwatisha makamanda wa kweli kwa kuwapeleka mahabusu? Hivo ni vijimambo vidogo sana na haviwezi kufifisha harakati za ukombozi wa pili dhidi ya mkoloni mweusi. Si Mkoloni mweusi bali MKOLONI MZAWA
Mlizoea kumchezea ndugu yenu mwema sasa mnyaturu atawanyoa mpaka nywele za puani
Nina degree mkuu usipate shida nami .
Mwanamama mashuhuri zaidi kwa sasa Tanzania Halima Mdee leo atarudishwa mahakamani akitokea gereza la Segerea.
Halima Mwenyekiti wa Wanawake CHADEMA na mbunge wa Kawe anatarajiwa kupokelewa mahakamani na umati wa wafuasi wa Chadema na wananchi wa jimbo la Kawe.
Halima Mdee anapitia njia ileile ya watu maarufu Afrika na Tanzania waliopelekwa magerezani kwa sababu ya kutetea haki mfano wa Freeman Mbowe,Dr Wilbroad Slaa,Godbless Lema,Maalim Seif Sharrif Hamad,Nelson Mandela,Winnie Mandela nk..
Ninapoandika sasa tayari barabara zote za kuingilia mahakama ya Kisutu zimesheheni magari ya askari wenye bunduki na mabomu kwa hofu ya ujio wa Mdee hapa mahakama ya Kisutu.
Halima Mdee amelala mahabusu kama historia kubwa kwake na chama chake siku ambayo Rasimu haramu ya Katiba ya CCM ikikabidhiwa kwa Rais wa Jamhuri huko Dodoma.Rasimu ambayo imetupilia mbali maoni ya wananchi na kubeba maoni ya chama kimoja cha CCM.Rasimu ambayo imefanyiwa sherehe na CCM kote nchini.Rasimu iliyopitishwa na wajumbe pekee wa CCM huku wale watetezi wa maoni ya wananchi wakisusia.
Tunatarajia kuwaletea kila kitakachojiri hapa mahakamani Kisutu..
Stay tuned..
Hatua zipi mkuu?Napongeza hatua zote zinazochukuliwa na serikali ku deal na hawa wahuni....
Ndoo za segerea zinamhusu sana huyo teja wa kike
Halima Mdee amekuwa maarufu sana kuliko hata alivyokuwa MM.
Kwa Halima kuwa mwenyekiti,kura za akina Mama mwakani ni kwa mgombea wa chadema /ukawa.