- Saafi sana Sheria ni msumeno hakuna mbunge wala nani wakivunja Sheria weka rumande na wakileta za kuleta wapigeni tu u know!!
Le Mutuz
mwili mkubwa nilidhani na akili ni kubwa kumbe the opposite is damn true
ndio magereza waliyotengeneza CCM yatatumika hayo kuwaweka siku moja go back to the historyAkitoka huko ananuka pi.chu
Kwani wewe unajiona je..?! Huoni huo ukunguru wako..halima anapigania tunu za taifa, upunguzaji wa madaraka ya rais ili kuleta ufanisi, anapigania wabunge wachaguliwa waliosoma, anapigania baraza dogo la mawaziri lenye tija na ufanisi, anapigania ukomo wa mawaziri, anapigania haki za vijana na akina mama..nk ndicho anachopigania..wewe jifiche chini ya uvungu, na akili yako wape akina sita ubaki na timbo na makalio kufikiria..lakini najua kizazi chako kitakuja kufurahia matunda lkn watajua tulikua na babu muoga anapiganiwa haki zake na wanawake..babu ambaye akisikia polisi na jela anataka kujinyeaUMEJUWAJE KAMA MIMI NI MUOGA hio A, na B UMEJUWAJE KWAMBA MDEE ANAPIGANIA AU ANALIPA FEDHA ZA WATU.
ngoja akanyee debe ndio akili itakaa sawa
laana ya kulishwa na mzee wako mpaka miaka 55 amevunja sheria gani- Mwili mdogo ukivunja sheria rumande na kama vipi unapigwa tu!1
Le Mutuz
Afungwe tu. Si mnajifanya wanaharakati!
Kwani unaona hatari sana, na wale wanaume walikuwa wanawakatikia wakina chenge pale bungeni baada ya pale wananuka nini si mavi kweli..?!Akitoka huko ananuka pi.chu
Ungemshauri hivyo Nyerere wakati wa kudai uhuru ambao ni sawa tu na leo kudai ukombozi wa kiuchumi
- Mwili mdogo ukivunja sheria rumande na kama vipi unapigwa tu!1
Le Mutuz
laana ya kulishwa na mzee wako mpaka miaka 55 amevunja sheria gani
nilijua mvi ni ishara ya uungwana , kumbe siyo !
pengine mleta mada hakumaanisha vibaya! lakini kuna tofauti kubwa kati ya jela na maabusu. shortly, maabusu ni wakati wa pending case lakini jela ni baada ya kesi ya msingi kuisha na mtuhumiwa kuhukumiwa kifungo!
Ni kweli wameamua kumtia adabu.Acha apelekwe,maana anajidai yupo juu ya sheria,huyu kasoma sheria ila hajui kuiaply.Maandamano yalikatazwa yeye kayaitisha,si uchochezi huo,akitoka huko atakuwa kajifunza
Wanazidi kumuimarisha
Not expected from you, I thought you are a gentleman!!Endelea kunyea pampus basi kama unaona kunyea debe ni hatari..
Wewe mtu unalelewa mpaka unakaribia miaka sitini utajua nini, mtu wakati halima mdee anapigania haki, wewe upo kwenye mitandao unapiga picha na wanawake huku unarembua..unafikiri maendeleo ya hii nchi italetwa na WANAUME warembuaji kama wewe..unafikiri kama kina mandela, nyerere, washingtong wangekuwa wanarembua ka wewe nchi zongesimama..anyway napoteza muda tu maana najua kwa uwezo wako wa akili huwezi nielewa..wewe endelea na ukula kulala na kupiga picha za kurembua ista.- Mwili mdogo ukivunja sheria rumande na kama vipi unapigwa tu!1
Le Mutuz
Hawakufungwa kwa ujinga kama huu wa kutumiwa na wajerumani ili warudishe ukoloni na ushoga.