ferre.g
JF-Expert Member
- Mar 3, 2013
- 2,215
- 329
Nani kakuroga we mpuuuziAcha apelekwe,maana anajidai yupo juu ya sheria,huyu kasoma sheria ila hajui kuiaply.Maandamano yalikatazwa yeye kayaitisha,si uchochezi huo,akitoka huko atakuwa kajifunza
Nani kakuroga we mpuuuziAcha apelekwe,maana anajidai yupo juu ya sheria,huyu kasoma sheria ila hajui kuiaply.Maandamano yalikatazwa yeye kayaitisha,si uchochezi huo,akitoka huko atakuwa kajifunza
ngoja anyee debe ataelewa utii wa sheria ni nn
mjinga mkubwa ww..... Tumia akili yako si ya wezi wa Mali ya ummangoja anyee debe ataelewa utii wa sheria ni nn
ww tunakujua huna jipya kazi yako ni kuisifia serikali ya wahuni wenzako pia kupiga picha za utupu na makahaba wenzako- Sheria ni msumeno ingawa kajitahidi safari hii mpaka kaenda mahabusu inatia moyo kidogo, Mwenyekiti yupo South Africka anakuyla batazz U know!!
Le Mutuz
we kima kweli..... Kanye ulaleBora afungwe kabisa......yaani ikiwezekana serekali imuweke mfuko wa nyuma kabisa, asiishie kwenyewr mfuko wa shati.
Dhahabu ili ingae na kupata thamani lazima ipite kwenye tanuru la moto mkali. Halima Mdee usife moyo, ufanyayo yata kumbukwa kwa heshima siku zijazo kwani unao wapigania ni masikini wa nchi hii ambao hawana wa kuwasemea. Utatukanwa na vihawara vya watawala (kama hawa wa JF) lakini wenye mapenzi mema na nchi mioyo yao inaumia zaidi kuliko wewe unayepata mateso ya mwili.
Giza limekuwa nene mno lazima mapambazuko yako karibu. Usife moyo.
SegereaKeko ukonga au segerea??
mjinga mkubwa we- Mwili mdogo ukivunja sheria rumande na kama vipi unapigwa tu!1
Mj
Le Mutuz
Nilidhani utawaambia makamanda muende jela mkalale badala yake...kumbe mnataka kwenda mahakamani kesho kwa uwingi....haya shauri yenu....mtapigwa na kuvunjwa viuongo mkijidai mna uchungu na mdee....mwisho wa siku mtajuta kwani mnapaswa mumuache mwenyewe mchimba kisima...ameyataka na yanawezekana kuyapata ...nasi wapenda amani na utii wa sheria bila shuruti tunampongeza sana hakimu aliyemtia adabu
Mkt wa Bawacha Taifa na Mbunge wa Kawe Mhe. Halima mdee Amepelekwa maabusu jioni hii. Anatarudishwa mahakamani hapo kesho.
Makamanda kesho tuende mahakamani kwa uwingi kuichukua haki yetu.
Wewe si una bwana..sita ndo maana umetulia..!!Akiolewa atatulia.
Wewe mzee wa mabebizi una utoto mwingi;nenda kashindane na akina Wema;Kajala na wenzio hili jukwaa sio saizi yako- Saafi sana Sheria ni msumeno hakuna mbunge wala nani wakivunja Sheria weka rumande na wakileta za kuleta wapigeni tu u know!!
Le Mutuz
Bora afungwe kabisa......yaani ikiwezekana serekali imuweke mfuko wa nyuma kabisa, asiishie kwenye mfuko wa shati.