Obama wa Bongo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 5,448
- 4,980
ngoja akanyee debe ndio akili itakaa sawa
kwenu nyie wazungu wa unga wafirisi rasilimali za nchi yuko juu ya sheria anawabughudhi wakati nyie munafaidi kuku kwa mrija tayari kwa kujitanua kesho Dodoma kwa maandamano na matarumbetaAcha apelekwe,maana anajidai yupo juu ya sheria,huyu kasoma sheria ila hajui kuiaply.Maandamano yalikatazwa yeye kayaitisha,si uchochezi huo,akitoka huko atakuwa kajifunza
uzushi Hui
shutuma hi I
uchochezi mkubwa!
Jela au mahabusu?
Hata akikaa huko siku kumi atarudi tu la maana wasimu mwakyembe tu Kesh atapewa headline za kutosha yeye akiswekwa ndani Nape na Kinana wanatanua iringa huko maandamano kwa raha zao
ngoja akanyee debe ndio akili itakaa sawa
Mzee Mkandara na Polo,suala la elimu lisichukuliwe kama sababu ya kutofaulu katika huo uhuru tulioupigania,tatizo lilikuwa ni kutokuwepo na uongozi bora ambao lengo lake lilitakiwa kumuwezesha muafrika kwenda mbele na kifupi hakukuwepo mpango maalum baada ya kuupata huo uhuru.
Wenzetu walituzidi kete baada ya kutengegeneza local bogus ambao waliwakilisha maslahi ya colonial countries. Kulijengwa tabaka fulani ambalo lilijihusisha na wakoloni katika kuudidimiza uchumi wetu na na ndio maana nchi kama za Afrika Mashariki tuliachiwa wahindi kuwa ndio waendesha uchumi wetu kitu ambacho kimechangia sana katika kumuweka mwafrika (mzawa) nyuma kwa muda mrefu sana huo mimi ninauita urithi mbaya sana kama jinsi muheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete alivyorithi manyago yaliyoachwa na serikali ya Ben Mkapa.
Kazi kubwa sana anayo kuweka mambo sawa nchini, utafikiri ndio kwanza tumeupata huo uhuru, yaani kila kitu kimevurugika utafikiri mambo yalifanyika kwa makusudi ili atakayefuatiya kuwa rais awe katika kipindi kigumu sana kuweka mambo sawa, hizi ni moja ya mbinu za mkoloni ambayo lengo lake kubwa ni kutufanya tuendelee kuwqa maskini kwa muda mtrefu sana.
Bado sijaona kiongozi nationalists kama mzee Idd Simba wakati alipokuja na issue ya uzawa tulijionea jinsi mzee wetu huyu alivyotengwa na genge fulani hivi ambalo ndilo miongoni mwa hao walioachwa na mkoloni kuwakilisha na kusimamia mali zao, watu hao wapo na wanajulikana.
Mambo ya kuzungumzwa ni mengi mno kiasi kwamba topic yake inaweza ikatuchukuwa miaka mingi sana kuijadili na kuitafutia ufumbuzi wake.
Mungu tubariki watanzania wote tuendelee kuishi kwa amani na upendo wetu mkubwa tulionao uendelee kuwepo daima.
Peace!
Mkt wa Bawacha Taifa na Mbunge wa Kawe Mhe. Halima mdee Amepelekwa jela jioni hii... Anatarudishwa mahakamani hapo kesho...
Makamanda kesho tuende mahakamani kwa uwingi kuichukua haki yetu..
Afungwe tu. Si mnajifanya wanaharakati!
Dhamana ilikuwa ipo wazi Ila alienda kuthibitisha wadhimini kwenye waajiri wao hajarudi hadi sasa.
Mbona hiyo kawaida wanaonyea Debe ni watanzania kama yeye ,utawala kidikteta haujawahi kulipa madikteta wote waliondolewa kwenye tawala kwa aibungoja akanyee debe ndio akili itakaa sawa
Akina Mobutu Gadafi , Sadamu walikuwa wanenjoy kama nyie munavyo enjoy lakini waliishia mapangoni na kuchomekwa majiti kwenye makalio ,Kikwete yeye anabarizi tu na wanawe hana shida lakini ipo sikuYuko gereza gani la aziz wangu halima nikamtoe?...dah..,serikali hii,mbona hamkunipigia kunambia kuwa kina mnyika wamemwacha keepleft.
am coming beibe,am coming am coooming,aaaam cooooominggg,
Nchi ya wanaume waoga kama wewe..ambao haki zako zinapiganiwa na wanawake..ww sijui unapikilishwa..Bora afungwe kabisa......yaani ikiwezekana serekali imuweke mfuko wa nyuma kabisa, asiishie kwenye mfuko wa shati.
Ufisadi ndio umeruhusiwa!Acha apelekwe,maana anajidai yupo juu ya sheria,huyu kasoma sheria ila hajui kuiaply.Maandamano yalikatazwa yeye kayaitisha,si uchochezi huo,akitoka huko atakuwa kajifunza
Ufisadi ndio umeruhusiwa!
Nchi ya wanaume waoga kama wewe..ambao haki zako zinapiganiwa na wanawake..ww sijui unapikilishwa..
nendeni mpigwe virungu