Wewe mtutsi hii mbinu yako ya kujaza international forum na habari za kitanzania tumeishaishtukia.
RWANDA ITAJADILIWA TU![/QUOTE]
Usikimbie jukwaa lako. Maji ukiyavulia sharti?.......maji yamekuwia marefu huko, ukakimbilia kwenye jukwaa hili. Watanzania ningependa wajue kuwa wewe ni mnyarwanda in camouflage kwa hiyo wakufurumushe urudi kwenye jukwaa la kimataifa. Tunakusubiria huko. Karibu Mhutu kwenye jukwaa la kimataifa
cc
Koba,
Talkandtalk,
Commanche,
MUKAMASIMBA,
MGOSI132
kwa vile wewe ni mtani wangu naona nikufahamishe otherwise ningekudharau tu:
Maelezo: hii thread huyu "mkenya" aliileta kule international forum, tukailalamikia ikahamishwa huku kwenye jukwaa husika. Angalia time ya hiyo post yangu unayoijibu utaona kuwa ilikuwa ni time ambapo thread hii ilikuwa kule internationoal forum kabla haijahamishwa. Upo hapo mzee "dim"?