Kwani wewe unajiona je..?! Huoni huo ukunguru wako..halima anapigania tunu za taifa, upunguzaji wa madaraka ya rais ili kuleta ufanisi, anapigania wabunge wachaguliwa waliosoma, anapigania baraza dogo la mawaziri lenye tija na ufanisi, anapigania ukomo wa mawaziri, anapigania haki za vijana na akina mama..nk ndicho anachopigania..wewe jifiche chini ya uvungu, na akili yako wape akina sita ubaki na timbo na makalio kufikiria..lakini najua kizazi chako kitakuja kufurahia matunda lkn watajua tulikua na babu muoga anapiganiwa haki zake na wanawake..babu ambaye akisikia polisi na jela anataka kujinyea