Halima Mdee apelekwa mahabusu

Halima Mdee apelekwa mahabusu

Status
Not open for further replies.
Mungu akulinde kamanda popote ulipo.
 
Mkt wa Bawacha Taifa na Mbunge wa Kawe Mhe. Halima mdee Amepelekwa maabusu jioni hii. Anatarudishwa mahakamani hapo kesho.

Makamanda kesho tuende mahakamani kwa uwingi kuichukua haki yetu.
Mlizoea kumchezea ndugu yenu mwema sasa mnyaturu atawanyoa mpaka nywele za puani
 
Ili la Mh. Mdee litawagharimu. Mnaenda kupokezana katiba fake wapigania haki wakiwa rumande! The history will judge you magambas at its own TIME!
 
Ngoja siku uje angazangu nikupige PR kucheki prostate ndo utajua nesi au ni nanani..maana nyie walamba viatu labda PR ndo hamuogopi..

We nesi hauna ethics za kazi yako. Unaonyesha mgonjwa akija ambaye sio chadema utampa matibabu fake: hebu jaribu kwangu uone, nakufunga.
 
kati ya yeye aliyeandamana na aliyekataza kuandamana nani kavunja sheria? Kwa Kuwa kuandamana ni haki Kwa mujibu Wa katiba ya 1977 ili kuonesha hisia na kufikisha ujumbe za walalamikaji. Sasa wewe mbumbumbu mdee kavunja sheria ipi?

heko kaka mfizigo umenena vyema
 
Mkt wa Bawacha Taifa na Mbunge wa Kawe Mhe. Halima mdee Amepelekwa maabusu jioni hii. Anatarudishwa mahakamani hapo kesho.

Makamanda kesho tuende mahakamani kwa uwingi kuichukua haki yetu.
Makamanda wenzako wanaogopa virungu kawaambie watoto wa Mbowe na Dr.Slaa wajitokeze.
 
nimekudharau sana .

Sawasawa. Kwani yeye si aliambiwa asiandamane, kilimpeleka nini? Yaani nyie mnajifanya kushabikia upinzani mgejua wanachopigania ni kutawala na si maendeleo. Tanzania haihitaji mabadiliko ya chama bali fikra za watanzania kupitia viongozi wawe CCM au chama kingine.
 
Acha apelekwe,maana anajidai yupo juu ya sheria,huyu kasoma sheria ila hajui kuiaply.Maandamano yalikatazwa yeye kayaitisha,si uchochezi huo,akitoka huko atakuwa kajifunza
Mungu akusamehe kwa sababu haujui uliloliandika

She is so cute, how could they put her there?

This is insane.
 
"Na mimi nasema wapigwe, maana hamna namna, tumechoka," By Pinda!
 
"Na mimi nasema wapigwe, maana hamna namna, tumechoka," By Pinda!

Kwa lugha ya kihesabu tunaweza kuandika hivi: Halima Mdee Є {Nelson Mandela, Mahtma Ghandi, Jaramogi Odinga, Steve Biko, Jomo Kenyatta, .... & other imprisoned freedom fighters} wakati Pinda & genge lake Є {Augusto Pinochet, Idi Amin Dada, Mengistu Haile Mariam, Pol Pot, Adolf Hitler,.... & other deadliest dictators}
 
Acha apelekwe,maana anajidai yupo juu ya sheria,huyu kasoma sheria ila hajui kuiaply.Maandamano yalikatazwa yeye kayaitisha,si uchochezi huo,akitoka huko atakuwa kajifunza

uko wapi nije nikuingilie
 
Sawasawa. Kwani yeye si aliambiwa asiandamane, kilimpeleka nini? Yaani nyie mnajifanya kushabikia upinzani mgejua wanachopigania ni kutawala na si maendeleo. Tanzania haihitaji mabadiliko ya chama bali fikra za watanzania kupitia viongozi wawe CCM au chama kingine.

utakuwa demu wa lusinde maanake hueleweki unachozungumza
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom