Halima Mdee apelekwa mahabusu

Halima Mdee apelekwa mahabusu

Status
Not open for further replies.
Hofu yangu kesho isijetokea hakimu akadai sio siku ya kazi, anaenda Dodoma kupokea Katiba inayopendekezwa.
 
nendeni mpigwe virungu
Mbona muoga sana..unaogopa virungu..mwanamke kama halima anakushinda..wewe umejificha chini ya kitanda unaogopa virungu..kazi unayoweza ni kuwasifia wanaime wenzako sita na chenge na kuwakatikia mauno..taifa la wanaume waogo na wapaka ina kama wewe ni taifa mfu..eti virungu..coward
 
Jela ndio hiyo hiyo mahabusu.

pengine mleta mada hakumaanisha vibaya! lakini kuna tofauti kubwa kati ya jela na maabusu. shortly, maabusu ni wakati wa pending case lakini jela ni baada ya kesi ya msingi kuisha na mtuhumiwa kuhukumiwa kifungo!
 
jela lazima uingizwe vitu venye ncha kali
Ninyi mnaosifia akina sita na chege na kuwakatikia mauno pale bungeni si mnaimgiziwa kwa hiyari..mwanaume unaogopa jela..kapake ina basi ili akina sita wakupende zaidi..
 
Kwakuwa ni Mlei wa kanisani kesho ataachiwa mapema sana kabla kanisa halijatoa tamko.

angekuwa Shekh au Mwislaam safi DPP angezuia dhamana.

Angeozea segerea,maana
 
Kwakuwa ni Mlei wa kanisani kesho ataachiwa mapema sana kabla kanisa halijatoa tamko.

angekuwa Shekh au Mwislaam safi DPP angezuia dhamana.

Angeozea segerea,maana wachochezi nchi hii ni waislaam.
 
Nilidhani utawaambia makamanda muende jela mkalale badala yake...kumbe mnataka kwenda mahakamani kesho kwa uwingi....haya shauri yenu....mtapigwa na kuvunjwa viuongo mkijidai mna uchungu na mdee....mwisho wa siku mtajuta kwani mnapaswa mumuache mwenyewe mchimba kisima...ameyataka na yanawezekana kuyapata ...nasi wapenda amani na utii wa sheria bila shuruti tunampongeza sana hakimu aliyemtia adabu
Taifa lenye wanaume waoga kama wewe ni taifa mfu..taifa ambalo akina halima ndo wanapigania haki..alafu wanaume wamebaki kuhongwa hongwa kama wanawake na kuwakatikia akina chenge na sita viuno ni taifa mfu..coward
 
Mkt wa Bawacha Taifa na Mbunge wa Kawe Mhe. Halima mdee Amepelekwa jela jioni hii... Anatarudishwa mahakamani hapo kesho...

Makamanda kesho tuende mahakamani kwa uwingi kuichukua haki yetu..

Kwa hiyo anaenda kutumia hii kitu.....ya lupango?? Mpe pole yake. Akitoka huko sijui kama atakuja rudia tena kuzengua.
 
Attachments

  • jela ndoo.jpg
    jela ndoo.jpg
    41.9 KB · Views: 595
Nilidhani utawaambia makamanda muende jela mkalale badala yake...kumbe mnataka kwenda mahakamani kesho kwa uwingi....haya shauri yenu....mtapigwa na kuvunjwa viuongo mkijidai mna uchungu na mdee....mwisho wa siku mtajuta kwani mnapaswa mumuache mwenyewe mchimba kisima...ameyataka na yanawezekana kuyapata ...nasi wapenda amani na utii wa sheria bila shuruti tunampongeza sana hakimu aliyemtia adabu
Ungemshauri hivyo Nyerere wakati wa kudai uhuru ambao ni sawa tu na leo kudai ukombozi wa kiuchumi
 
Dhahabu ili ingae na kupata thamani lazima ipite kwenye tanuru la moto mkali. Halima Mdee usife moyo, ufanyayo yata kumbukwa kwa heshima siku zijazo kwani unao wapigania ni masikini wa nchi hii ambao hawana wa kuwasemea. Utatukanwa na vihawara vya watawala (kama hawa wa JF) lakini wenye mapenzi mema na nchi mioyo yao inaumia zaidi kuliko wewe unayepata mateso ya mwili.
Giza limekuwa nene mno lazima mapambazuko yako karibu. Usife moyo.
 
Acha apelekwe,maana anajidai yupo juu ya sheria,huyu kasoma sheria ila hajui kuiaply.Maandamano yalikatazwa yeye kayaitisha,si uchochezi huo,akitoka huko atakuwa kajifunza
Wewe nikuache tu maana kama wanaume ambao wako ccm ni waoga kama kunguru wao kusikia jela tu hapa wanataka kujinyea sijui nyinyi wanawake huko mtakuaje.? Kama wanaume na akili zao wanawasifia akina chenge na sita wanafikia mpaka kuwakatikia viuno pale bungeni, sijui wanawake huko mtakuwaje..? Nikuache tu..
 
Dhahabu ili ingae na kupata thamani lazima ipite kwenye tanuru la moto mkali. Halima Mdee usife moyo, ufanyayo yata kumbukwa kwa heshima siku zijazo kwani unao wapigania ni masikini wa nchi hii ambao hawana wa kuwasemea. Utatukanwa na vihawara vya watawala (kama hawa wa JF) lakini wenye mapenzi mema na nchi mioyo yao inaumia zaidi kuliko wewe unayepata mateso ya mwili.
Giza limekuwa nene mno lazima mapambazuko yako karibu. Usife moyo.
naunga mkono hoja Muda wa ukombozi umeshakaribia hakuna kurudi nyuma daima
 
Nchi ya wanaume waoga kama wewe..ambao haki zako zinapiganiwa na wanawake..ww sijui unapikilishwa..

Hakuna wanaume waoga kama akina Lissu, walishasema wao hawatakaa mbele hata siku moja, maskini wamemtosa mmama wa watu! Aibu.
 
Kama ni kweli basi ni uzembe wa hali ya juu sana kwa Kibatala na wenzako..mmenikera sana ...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom