immigrant
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 233
- 128
Huko ccm mbona kama kuna wanaume waoga sana..mnafanyana nini huko..?!Ni kweli wameamua kumtia adabu.
Juzi alikuwa na Kikwete jukwaa kuu wakati wa ufunguzi wa Br ya Bagamoyo, siku mbili baadaye anaongoza maandamano kwenda Ikulu.
Sasa hapo aliokuwa nao jukwaa kuu ndo wana msanifu!