Halima Mdee apelekwa mahabusu

Halima Mdee apelekwa mahabusu

Status
Not open for further replies.
Afungwe tu. Si mnajifanya wanaharakati!
wewe mkuu muda wote unakuwa unafanya nini..kuwakatikia akina chenge na sita viuno..kama mlivyofanya bungeni..taifa la makunguru kama ninyi ni taifa mfu..kusikia jela tu unataka ujikojolee..
 
Hakuna wanaume waoga kama akina Lissu, walishasema wao hawatakaa mbele hata siku moja, maskini wamemtosa mmama wa watu! Aibu.
Siwezi kubishana na watu cowards kama wewe..si ajabu una miaka 30 hata polisi kwenda kutoa ushahidi hujawai fika..so ni ukubguru tu unakusumbua.. Acha wanawake wa shoka kama akina halima mdee wapiganie haki zako..wewe kapake hina-coward
 
Mkt wa Bawacha Taifa na Mbunge wa Kawe Mhe. Halima mdee Amepelekwa jela jioni hii... Anatarudishwa mahakamani hapo kesho...

Makamanda kesho tuende mahakamani kwa uwingi kuichukua haki yetu..
Anatafuta umandela eti na yeye kaenda jela. Watu wanataka tu kufanya siasa ili wapate madaraka ya nchi. ilikua agenda ni 'katiba' chama tawala kikawazidi kete,.. sasa imekuja 'kuandamana hadi kieleweke'. Lakini halima ameanzisha mpya ya 'kupelekwa jela'.
 
Kama chadema hadi kumdhamini mtu kama halima mdee imekuwa ngumu basi kazi ipo!!!
 
Jeshi la police na Chadema kwa ilivyo sasa ni kama paka na chui ,sijui haki ipo wapi katika usawa wa sheria nchi hii.
 
Hawakufungwa kwa ujinga kama huu wa kutumiwa na wajerumani ili warudishe ukoloni na ushoga.
Kasome historia wewe..akili umewapa akina chenge na sita wewe unatumia makalio..kwa hiyo kutaka wabunge waliosoma, kutaka baraza la mawaziri dogo lenye ufanisi, kutaka kikomo cha ubunge nk ..ni wajerumani ndo wanataka..huoni aibu akili umewapa akina kinana wewe umebaki na makalio kufikiri..
 
muache atimize mojawapo ya masharti ya chadema~kwenda jela
 
Acha apelekwe,maana anajidai yupo juu ya sheria,huyu kasoma sheria ila hajui kuiaply.Maandamano yalikatazwa yeye kayaitisha,si uchochezi huo,akitoka huko atakuwa kajifunza

Wewe uliyesoma na unayejua kuapply tueleze ni sheria gani inayokataza maandamano na jinsi hao wanaokataza wanavyoiapply.
 
Safi sana akakutane na wababe wa jela wamkoboe
 
Acha apelekwe,maana anajidai yupo juu ya sheria,huyu kasoma sheria ila hajui kuiaply.Maandamano yalikatazwa yeye kayaitisha,si uchochezi huo,akitoka huko atakuwa kajifunza
kasome katiba vizuri kuhusu haki ya kuandamana...
 
huu uonevu una mwisho Halima Mdee mwanaharakati wetu hakuna haki inayopatikana bila kupambana hata Nelson Mandela alifungwa miaka 27 mwisho wake Afrika kusini ilipata uhuru hakuna kuogopa kwenda mahabasu ni njia tuu za kuleta harakati TIME WILL TELL.
View attachment 191188
WAZALENDO MSIKATEE TAMAA MUDA WA UKOMBOZI UMESHAFIKA

Mi nilidhani yuko Chadema, kumbe ni mwanaharakati!
 
Mkt wa Bawacha Taifa na Mbunge wa Kawe Mhe. Halima mdee Amepelekwa jela jioni hii... Anatarudishwa mahakamani hapo kesho...

Makamanda kesho tuende mahakamani kwa uwingi kuichukua haki yetu..

- Saafi sana Sheria ni msumeno hakuna mbunge wala nani wakivunja Sheria weka rumande na wakileta za kuleta wapigeni tu u know!!

Le Mutuz
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom