Halima Mdee apelekwa mahabusu

Halima Mdee apelekwa mahabusu

Status
Not open for further replies.
Kina mama tuige mfano wa kamanda Halima. Tuondoe woga kutetea haki zetu. Tujiulize je tunazitambua haki zetu? Je tunaielewa vyema rasimu ya CCM? Je kweli itatufikisha? Kama la tujipangeje kuipigia kura ya HAPANA?
 
Humu Halima ameiva,kulala segerea sio kitu ukilinganisha na kulala porini.Silaha begani, jembe,na risasi zinalia.Ujanja wa porini.you are a soldier Matron.Yatakwisha haya
 
Kanisa Katoliki na Shura ya Maimamu wameshatoa msimamo kwenye katiba.Ni kura ya HAPANA
 
Humu Halima ameiva,kulala segerea sio kitu ukilinganisha na kulala porini.Silaha begani, jembe,na risasi zinalia.Ujanja wa porini.you are a soldier Matron.Yatakwisha haya

Huyu ni Hero mfano wa Mandela
 
Yule jamaa wa tabora alimpiga mwanachama wa CDM pale dodoma hatuja sikia hata kuitwa kituoni kuhojiwa,lakn Halima anaendelea kulala lupango,viongozi hebu fikilieni mambo haya kwa faida ya nchi wananchi wanajifunza nn kwa matendo haya yanayo tazama upande mmoja tu,niushauritu.
 
Mkt wa Bawacha Taifa na Mbunge wa Kawe Mhe. Halima mdee Amepelekwa maabusu jioni hii. Anatarudishwa mahakamani hapo kesho.

Makamanda kesho tuende mahakamani kwa uwingi kuichukua haki yetu.
CDM wajanja. Waliacha alale lupango ili kufunika coverage ya makabidhiano ya rasimu. Leo watagawana habari lol
 
Leo bila shaka Mh wetu sana Halima Mdee atapatiwa dhamana. Hawa wanaojiita makamanda ilikuwaje wakamwacha Mh Mdee ashindwe kukidhi masharti ya dhamana mpaka yamkute haya yaliyomkutaa. Nguvu ya wananchi ilishindwa kazi? Eti leo twende tukampokee, kwanini jana hatukwenda kumtoa. Hatuna haja ya kumuuliza Henry Kilewo yaliyomkuta huko mahabusu. Mh Mdee karibu uraiana na sisi tupo Dodoma tukisherekea. Endapo haita kutatiza, karibu Dodoma.
 
Acha mbwembwe ww, ina maana Mandela alipo fungwa alikufa? Kazi kujipendekeza tu
 
na mwaka ujao mtakoma no kuongoza nchi wala nini mabahili wakubwa kaz uroho wa madaraka tu na bado vyombo vya dora vimewapania vitawasurubu kama enzi za utumwa nyie mjaribu kuandamana muone
Kapime maleria
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom