Nsongola - mabunga
Senior Member
- Oct 7, 2014
- 140
- 43
viva kamanda watanzania tupo nyuma yako!
Leo bila shaka Mh wetu sana Halima Mdee atapatiwa dhamana. Hawa wanaojiita makamanda ilikuwaje wakamwacha Mh Mdee ashindwe kukidhi masharti ya dhamana mpaka yamkute haya yaliyomkutaa. Nguvu ya wananchi ilishindwa kazi? Eti leo twende tukampokee, kwanini jana hatukwenda kumtoa. Hatuna haja ya kumuuliza Henry Kilewo yaliyomkuta huko mahabusu. Mh Mdee karibu uraiana na sisi tupo Dodoma tukisherekea. Endapo haita kutatiza, karibu Dodoma.
Mwenzio yupo VIP, ni muhitimu pia wa mafunzo ya KJT pale Ruvu,
Hatuna mashaka hata wakimuacha miezi.
Iweje MACCM wajiruhusu kuandamana lakini CHADEMA wasiruhusiwe? Haki ya kuandamana ni ya kikatiba. Utawala huu wa kimabavu unaofanywa na hii Serikali dhalimu ipo siku utafikia kikomo.
- hahahahahahahaha ngoja akale maharage mabichi ndio atashika adabu kudadeki na huko ndani wakimuwacha sijui unawajua wale mburulazzz kule wamepinda sana U know!!
Le Mutuz
Mbunge mmoja wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA amepelekwa rumande baada ya kushindwa kutimiza vigezo vya dhamana mahakamani.
Halima Mdee ambaye pia ni mwenyekiti wa baraza la wanawake wa chama hicho pamoja na wenzake wanane, walifikishwa kwenye mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam wakituhumiwa kufanya maandamano yaliyopigwa marufuku.
Mwandishi wa BBC mjini Dar es Salaam Baruan Muhuza amefanya mahojiano na msemaji wa chama hicho Tumaini Makene ambaye kwanza anaelezea kwanini Mbunge huyo amekosa dhamana?
Mbunge wa upinzani rumande TZ - BBC Swahili
Mkuu, hukwenda kumsindikiza rais wako kuhojiwa mahakamani? angalia wasije naye wakamuweka rumande.
After that one is kagame.....ahahahahaa
Hii mada peleka jukwaa la siasa bana ebo umejiunga JF tangu 2013 May mpaka leo hujui hizi mada zinasatahili kuwekwa wapi !.Tuanachane na mambo ya Mdee yule ni kamanda ana uwezo wa kumudu mazingira ya magereza vipi Kenyatta anaendelea na kesi yake huko ICC ?.Nasikia Ruto kachukua mikoba tena upo uwezekano Uhuru akabakia huko huko The Hegue majaji wameona marais wa Africa hawataki kutii sheria wanajua wakimwache arejee Kenya anaweza kutokomea kama Al Bashir wa Sudan.
Mbunge mmoja wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA amepelekwa rumande baada ya kushindwa kutimiza vigezo vya dhamana mahakamani.
Halima Mdee ambaye pia ni mwenyekiti wa baraza la wanawake wa chama hicho pamoja na wenzake wanane, walifikishwa kwenye mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam wakituhumiwa kufanya maandamano yaliyopigwa marufuku.
Mwandishi wa BBC mjini Dar es Salaam Baruan Muhuza amefanya mahojiano na msemaji wa chama hicho Tumaini Makene ambaye kwanza anaelezea kwanini Mbunge huyo amekosa dhamana?
Chanzo: BBC Swahili
Vipi ile mishe yako ya kuwauzia Warwanda demokrasia, unaona vipi wanakuskliza?