Mnyama Hatari
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 335
- 82
Kuna kisa cha Bush na mfungwa.Mfungwa akikamatwa na makosa yaliyomfikishia kuhukumiwa kifo.kwa muda aliokuwa gerezani akaokoka na kuwa mtu mwema aliyeweza badili wengi magerezani na nje.Ilipofika kwa Bush kuweka sahihi ktk Hukumu watu wa haki za binadamu na taasisi nyingine zikaanza hesabu mema na mfano mzuri wa jamaa km kigezo cha kumtaka Bush amsamehe jamaa. Bush akajaribu fikiria ni wapi sheria inaruhusu hayo au kuchagua mtu wa kukwepa sheria,hakuona.Ikabidi apitishe hukumu na watu waengi walimlaumu sana.
Huyu Binti ajilaumu kwa kutokuwa shule, kwani umri wa kuolewa kisheria anao ,pengine shule tuu ndio ingenfanya aonekane kutumiwa na marehemu au pengine asingekuwa kwa huyo jamaa kwani asingekuwa huru hivyo.Ila km alimsukuma na kumsababishia kifo(hata km kifo kilikuwa tayari mlangoni) hakuna njia halali ya kumuepusha, pengine ihamie ktk muua bila kukusudia.Si vyema sana huruma ifanye watu wepesi kuzuia sheria kwa baadhi ya watu.
mdee anachemka....
mtoto wa babu seya alikaa segerea akiwa na miaka 17 tu... umri isiwe kigezo cha haki kutotendeka plus kuna ushahidi wa interview mbalimbali anaukana udogo hadharani na kusema she is 18 .. tuacheni mahakama iamue..
Nakupongeza Mh Mdee fanya lililo jema Lulu ni bint mdogo (minor). Amekuwa akirubuniwa na mabazazi kwa urembo wake. She's only 17! Wabongo wanausemi wa kijinga mtoto wa mwenzio ni mkubwa mwenzako.Alichochemka Halima ni kipi?
Na hiyo ya umri wa Lulu kitakacho-matter ni cheti chake cha kuzaliwa tu na siyo alichosema kwenye tv programs au kilichoandikwa kwenye magazeti ya udaku kuhusu huo umri wake.
Nakupongeza Mh Mdee fanya lililo jema Lulu ni bint mdogo (minor). Amekuwa akitubuniwa na mabazazi kwa urembo wake. She's only 17! Wabongo wanausemi wa kijinga mtoto wa mwenzio ni mkubwa mwenzako.
Go go go Mh Mdee
Amekana umri na kusema ana 17, hiyo 18 amesema mnajua nyieKwa mdomo wake alisema ana miaka kumi na nane. Sasa wewe kusema 17 unatafuta umaarufu? Kumbuka nguvu ya umma ipo against wewe! Ya ngoswe...............
Kwani umri mdogo ndio kibali cha kuua na kutokutwa na hatia? Ok kumbe ukiwa under 18 unaweza ua na kuondoka scott free.
Halima Mdee yuko sahihi sana. Hivi kwa nini mwanzisha thread unataka sana Lulu akomolewe?
Mie namtetea sana Lulu kwa kuwa naamini kifo cha SK kimesababishwa na ufreeamason wake taka usitake ndo source ya kifo chake na Skip
Lulu ametumika kama scapegoat (mtu wa kulaumiwa au chambo) ili secret society izidi kuwa siri na kufanikiwa kwa hili ndo kama hivi jamii inamlaumu Lulu.
Andy Chande (Mkuu wa frimasons East Africa) amenuliwa akitaja orodha ya members wakubwa hapa Tz akiwemo JK, Ms. Clean na aliwataja mastaa kv Marehemu SK, AY, mr. blue n.k na skip pia.
Kwa mtazamo wangu naamini Mh. Mdee amegundua Lulu hakuwepo kwa SK kwa nia ya kuua hayo ni matokeo ya kuwa scapegoat kitu ambacho hata Lulu angekuwa na miaka 30 au 12 kama karata iliangukia kwake alikuwa hakwepi msala huu hata angekuwa virgin girl asimgekwepa.
Pls ieleweke anatakiwa kusaidiwa kama unaendelea kumkandia Lulu omba yasije tokea kwako na pia omba usizae.
LULU NI SCAPEGOAT TU.
Mdee aachane na hili la Lulu.
Ashughulikie uwekaji wa daraja permanent pale Makao Makuu JKT Mlalakua, Mikocheni. Itapunguza foleni na tutamkumbuka kwa hilo 2015.
lulu ni mtoto, umerudia tena eti umeona cheti cha kuzaliwa, mara anategemewa na mama yake. mh! unazidi kuniacha hoi. Unajua wazi huyu binti keshapanda kizimbani kwa charge ya murder, wewe ni lawyer, unajua rule of law ni nini. unapigania maadili majukwaani kila siku, hayo maadili yataanzia hewani? binafsi, namuonea sana huruma huyu mtoto Elizabeti Michael ila nina hamu ya kujua huyu BINTI Lulu anahusikaje au hahusiki na kifo cha kanumba. Unataka utusahaulishe vimbwanga vya binti Lulu kirahisi hivi? mtoto mdogo usiku mkubwa anakuwa kwa mwanaume? Acha sheria ichukue mkondo wake. unatamba kuwa out of 40 ni watu 10 tu wanaokupinga, naomba nikukumbushe mageuzi ya vyama vingi, majority walipenda chama kimoja kiendelee(mangumbalo) lkn wenye akili wachache walitaka vyama vingi. Hii itakula kwako, mi napost 4 the 2nd time tatizo lenu politians huwa mnafikiria mnajua kila kitu encyclopedic perception. pole nafunga domo langu, tukiwa hai nitakukumbusha.
Alichochemka Halima ni kipi?
Na hiyo ya umri wa Lulu kitakacho-matter ni cheti chake cha kuzaliwa tu na siyo alichosema kwenye tv programs au kilichoandikwa kwenye magazeti ya udaku kuhusu huo umri wake.