Halima Mdee akamatwa na polisi

Status
Not open for further replies.
ukombozi uko karbu sana
Labda kama kuna agenda mpya. BMK tayari ni historia. Twendeni kwa wananchi katiba inayopendekezwa ikipelekwa huko. Mbona kule Kenya Orange waliweza?
 
Maisha ni kama gwaride hao mnaowatesa ipo siku watawatesa.
 
Mkuu venu
Nahitaji Pili pili aisee
 
Last edited by a moderator:
Hawa jamaa akili zao mbovu sana, wanashindwa kukamata wauaji wa albino wanakuja kukamata wamama wanaopigania haki.

Uharifu siyo kuuwa albino peke yake ni pamoja na wanaochochea fujo na kutaka kuleta mchafuko
 
Sasa ivi atakuwa anafanyiwa ile ki2 waliyofanywa watuhumiwa wa ugaidi.
 
mdee huwa si mshabiki wa mavurugu sana kama machadema wenzake, watamuachia tu
 
CCM ndio akili zao subiri moshi wanaandaa maa ndamano makubwa kuwapongeza mafisadi Wa rasimu POLISI watawasindikiza kwa BRASS BAND YAO
 
Tena ni bora wamemkamata..... Anasema wamechakachua??? Yeye alikuwa wapi wanachakachua?? Kuna mtu alifukuzwa wakati wa utungaji katiba??? Aache umalaya wake wa kutaka kujulikana kisiasa na kutumika kama kondomu na akina mbowe kisiasa!! Tena mimi ningekuwa ndiye raisi ningemfungulia kesi ya uhaini pumbavu zake
 
Ukiona hadi akina mama wanaandamana ujue ukombozi umefika .
 
MAANDAMANO BAWACHA: Polisi wakiwa kwenye magari madogo 5, gari 1 la maji ya kuwasha wazingira Ofisi za Chadema-Bawacha Kinondoni asubuhi hii kuzuia maandamano.
 
Umasikini wa akili ni mbaya kuliko wote - JK NYERERE .
 
Akili hizi za kihuni ndo think tank za chadema???
Jitathimini kwanza huna ubavu wa kusimama nami ulingoni.... Watafute msalani, simiyu yenu, thatha, hammy d nk mm si size yako ngedere wewe
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…