Halima Mdee afanyiwa upasuaji na kutolewa uvimbe tumboni, alazwa Agha Khan

Ugua pole Mh., na upone haraka. Juzi kati nimesikia mtu kajipeleka mwenyewe hospital akiendesha gari, wakati wa harakati za madaktari, presha ikashuka (kwa mujibu wa mtoa taarifa) zoezi likasimama ghafra huku na huku mara ICU, leo hii huyu mtu bwana alimpenda zaidi.

Hicho chumba ukitoka salama na ukajitambua ni jambo la kushukuru Mungu. Japo siku hizi risk zimepungua kwa asilimia kubwa.
 
Aolewe sasa , akiwa anachezea mshedede usiku kucha inasaidia kuzaa na kuondoa hizi complications.
Si kweli
Wamama kwny ndoa wengi tu wana fibroids
Ni hali ya kurithi na pia lifestyle ya kileo

Namjia mtu ana watoto wawili wakiwa age 7 nadhani kafanyiwa operation
 
Sidhani, mbona watawa masister wanaishi hadi uzee lakini hawapati hilo tatizo....
Nimefanya kazi katika vituo vya afya na hospitali za kanisa na miongoni mwa "cases za hysterectomy" 90% wamefanyiwa masista! Hebu google basi ....
 
Back
Top Bottom