Halima Mdee afanyiwa upasuaji na kutolewa uvimbe tumboni, alazwa Agha Khan

Oky,, nimekupata,, itakua nilimuelewa vibaya jamaa
Of course kuzaa siyo dhambi, na mchangiaji HAKUSEMA kuzaa ni dhambi ila ameonyesha kuwa hata KUTOZAA siyo dhambi. Kuna watu wengine wanataka sana kuzaa lakni kwa sababu moja au nyingine wanashidwa. Hivyo hatuna budi kutumia busara tunapoongelea juu ya watu wasio na watoto.
 
Mbunge wetu, Ugua pole Mh. Halima Mdee na upate kurejea ktk afya njema mapema.
 
Aolewe sasa , akiwa anachezea mshedede usiku kucha inasaidia kuzaa na kuondoa hizi complications.
Inaonekana unaufurahia sana mshedede kila siku hadi unashauri mwanamke mwenzio kwa kutumia uzoefu wako😋
 
Waafrica tunawaza kuzaa tu, Counsellor wa Ujerumani Angela Merkel hana hata mtoto, waziri mkuu wa Uingereza hana hata mtoto mmoja.... Think kama binadamu ndugu....
Unalinganisha wenye ulemavu wa kuzaa na waliochagua kuwa walemavu wa kuzaa
 
Back
Top Bottom