Halima Mdee afanyiwa upasuaji na kutolewa uvimbe tumboni, alazwa Agha Khan

Aghakan kazi ya CCM? How?

Kumbe inawezekana hata bahari ya hindi kuwepo Tanzania ni kazi ya CCM nayo, vile vile anga,ardhi na viumbe vyote vilivyomo ndani ya mipaka ya Tanzania navyo ni kazi ni kazi ya serikali ya CCM,tujuzane maana inawezekana hatujui alotuumba
Halafu akitoka hospitali unasikia anasema toka tupate Uhuru CCM haijafanya lolote!!! Hiyo hospitali SI no kazi ya serikali ya CCM.Halima hapo hapo kitandani ulipolalia kitanda Cha serikali ya CCM hapo ICU sema CCM hoyeee
 
Back
Top Bottom