Halima Mdee aachiwa huru

Hata kama ulionana na Rais wakati wa ufunguzi wa barabara hiyo haimaanishi usiombe kibali cha kuandamana. Au Rais aliwaandikia polisi akawaambia wakuruhusu kuandamana? Wewe mwanasheria unaelewa vizuri maswala ya taratibu.

Rais alimpongeza kwa kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa BAVICHA na kisha akasema amesikia Halima anataka kwenda kumsalimia basi Rais akasema karibu. Nadhani Rais hakuwa na maana ya kwamba aende kwa maandamano bali apange miadi ya kwenda kumuona kama anataka.
 
Nguvu ya umma ipi sema ameachiwa tu baada polisi kujiridhisha na maelezo

Hii ni mwanzo tu,BAWACHA wameanza wsnahaki ya kupinga rasimu ya sitta iliyowaweka rehani mabinti wa kitanzania wenye miaka 18 kuhalalishwa kuolewa, wakati watoto wa kike huanza drs la 1 wakiwa na miaka 61/2 hivyo drs la vii wanakuwa wanamiaka 13,

Kidato cha 1-iv watakuwa na miaka 17, kidato cha sita miaka 19, ccm imetaka mila na desturi mbaya ziendelezwe za ndoa za utotoni,na lengo ni kuzalisha mradi wa watoto waishio ktk mazingira magumu.

Binti wa japan anaolewa akiwa na miaka 26 ,uingereza 25, na korea 26 leo ccm inapitisha mawazo mabovu kiasi hiki?, kwa nini wanawake wanaojitambua wasiwahamasishe wenzao waandamane ili kufuta kipengele hicho!
Kwa nini tuendelee kuwa familia dhaifu kiasi hicho ambacho, watoto hawa watakuwa hawana ajira na bado wadogo?
Kwa nini wanawake wasiandamane kudai maji,umeme,matibabu bora ya watoto wao,kwa nini wasidai sheria ya maadili ya mtu kutoweka fedha nje ya nchi na wabunge watakaoenda bungeni kuunga sheria zinazowakandamiza mfano kuhamishwa kwenye maeneo yao kwa malipo kiduchu?
Kwa nini wasifanye hivyo kudai,sheria inayowazuia viongozi kupewa zawadi ns kama wakipewa wazikabidhi serikalini,kwa nini wasiandamane?

Anayefikiria watoto wake,anayefikiria wajukuu zake,anayefikiria jamaaa zake namajirani zake juu ya maisha yao,juu ya kutotembeza bakuri ulaya kuomba misaada,hatapuuza maandamano,hatadharau au kupoteza muda akiunga mkono sera mbovu za ccm!

Vinginevyo hajui hili we should talk differently,act differently and perform differently ,we should stand out!
Otherwise you are dull
 

Huyu mungu mnamchezea Sana nyie chadema mmemfanya Shemeji yenu.
 
ili Mwendele kufisadi Nchi? Kumbuka hamuwezi kupambana nampango wa Mungu

Acha izo chadema ndo walewale, hakuna udhihirisho wa uwepo wa Mungu ndani yake kwa jinsi waenendavyo, sauti zenye pumzi ya Mungu zilitoka kupitia viongozi wa dini kuwasihi kurudi BMK na kwamacho na masikio ya wananchi wote tumeshudia ukaidi wao, kwangu mimi CDM haina jipya kwakua ukimkataa Mungu ni dhahiri kua wewe ni washetani,
 
Nchi hii ina wajinga wengi, na 95% ya wajinga hao wapo CCM. Hata ukiangalia wanavyochangia humu na wanavyojenga hoja utagundua akili na elimu zao ni za viwango vya hali ya chini sana. Ikitokea amemalizia elimu ya juu, bado utaona reasoning yake ni sawa na ya darasa la 7 mwenye akili.

Chama ambacho uimara wake umejengwa kwenye ujinga wa wanachama na mashabiki wake hakiwezi kudumu maana ujinga siyo wa kudumu.

 
Polisi ccm wametuua sana, wametupiga sana na kutudhalilisha sana ni wakati sasa wakuanza kujipanga kuelekea uchaguzi ujao wakiua mmoja tue wawili maana tunaishi nao mitaani, tunakunywa nao pombe na wengine ni nyumba ndogo zetu... p

 
Hakukuwa na haja ya ukawa kususia BMK,wangekuwa mle wangekuwa na ushawishi mkubwa kuliko kuwa nje ya bunge.

Angalia sasa CCM wamepiga kura wenyewe,wamehesabu wenyewe,posho wamekula wenyewe,katiba wametunga wenyewe,wamesimamia wenyewe,kila kitu wenyewe.
 
Na hiyo ndiyo ahueni yenu maana wangepitisha na sisi tukiwemo ndiyo ingekuwa mbaya zaidi...
 
Nyie pro-Chadema JF viumbe wa ajabu sana kuna siku niliwaambia shilingi ina pande mbili.

Waislam walivyokuwa wanapigwa na polisi kwenye maandamano yao pamoja na Sheikh Ponda kupigwa risasi wote humu mlikuwa mnawasifia polisi na kuwatukana Waislam leo mmeguswa kiduchu tu mnalalamika na bado mtapigwa sana kwa unafiki wenu.

Hakuna kitu kibaya kama unafiki siwapendi polisi lakini kwa kauli zenu poa tu mpigwe.
 

Lakini kwa wananchi watatukuta na somo watalielewa
 

Wewe viroba vinakusumbua sana au ndio ile kauli yenu je nawananchi wakitoa kaulizao? Tatizo akili ndogo ikatawaliwa na viroba
 
Lakini kwa wananchi watatukuta na somo watalielewa

Mkuu hiyo inaweza kuwa sawa but kwa wananchi polisi wanavuruga maandamano,mwenyewe uliona maandamano ya kupinga katiba yalivyokwamishwa na polisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…