😂😂😂😂HASIRA HASALA baada ya kuachana na mke wangu wa kwanza nikachukua mwingine ndani ya siku mbili kumukoa kuwa mimi handsome naowa mwingine sasa najuta nilie nae nishida bora niwe bachela maisha yangu yote sina hamu na ndoa
Daaah😂😂😂😂😂aiseeKaa huku na mimi nikae kule tumfinye mshenzi!
Kusema kweli mshenzi nakiona cha mtema kuni..
Asiesikia la mkuu huvunjika guu
Si umefika lakini mkuu
Aiseeengoja ngoja huumiza matumbo
Aisee kweli kawia ufike mkuu
Aiseee mambo yatajipa tu usijal
Mla mla leo mla Jana kala ni?Wakati si milele.
Hahahaha na mimi piaKila mtu anapitia ya kwake na kwa muda wake , vitu vingi vinatukwamisha ,vingi vinatujenga vingine vinatuabisha vingine vitupa moyo na furaha.
hivi kwamba hali yako ya maisha ya sasa ungeambiwa utumie methali,Nahau au msemo wowote kuielezea ungetumia METHALI au MSEMO Upi?
kwa Upande wangu mimi hali yangu ya sasa ningetumia
MAJI UKISHAYAVULIA NGUO SHARTI UYAOGE