Hali yako ya kimaisha ya sasa unaipa methali au msemo upi?

HASIRA HASALA baada ya kuachana na mke wangu wa kwanza nikachukua mwingine ndani ya siku mbili kumukoa kuwa mimi handsome naowa mwingine sasa najuta nilie nae nishida bora niwe bachela maisha yangu yote sina hamu na ndoa
 
😂😂😂😂
 
Kila mtu anapitia ya kwake na kwa muda wake , vitu vingi vinatukwamisha ,vingi vinatujenga vingine vinatuabisha vingine vitupa moyo na furaha.

hivi kwamba hali yako ya maisha ya sasa ungeambiwa utumie methali,Nahau au msemo wowote kuielezea ungetumia METHALI au MSEMO Upi?

kwa Upande wangu mimi hali yangu ya sasa ningetumia

MAJI UKISHAYAVULIA NGUO SHARTI UYAOGE
Hahahaha na mimi pia
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom