🤣🤣🤣🤣wengine sie hata ajira ziwe wazi wazi, kuna vigezo vinatutoa nje ya mfumo.
Na tusharidhikaaa, polee zao wenye matarajio ya ajira, wanabaki kufurahishwaa km sio kushangazwaa,
Jamaa wa Petroleum anaendesha bajaji, GPA 3.8
Namuangalia nasemaa hiiii,
Nlishasema we kajamaa nikashetani wewe... Ovaaawengine sie hata ajira ziwe wazi wazi, kuna vigezo vinatutoa nje ya mfumo.
Na tusharidhikaaa, polee zao wenye matarajio ya ajira, wanabaki kufurahishwaa km sio kushangazwaa,
Jamaa wa Petroleum anaendesha bajaji, GPA 3.8
Namuangalia nasemaa hiiii,
Kila mwaka wanaongezeka serikal ipo kimya tu wala hata haijalila serikali inacho wafanyia graduates, bas tyuuh kwa kweli.
Kijana una akili SanaKuna dada mmoja alikuwa pini sana chuoni..kamaliza mwaka jana..nilimfukuzia sana lkn wapi alikuwa anaweka ngumu sana( nadhani alikuwa na mshkaji wake) sasa mwaka huu nipo kwenye mishemishe zangu si nikakutana nae sehemu anauza vitumbua...ameisha...ule uzur wake umepungua haswaaaaa...yani alishtuka kuniona akawa anavunga tu...nikamuungisha nikasepa zangu
Sikutaka kufanya lolote kwan nilijua tu huyu safar hii hachomoi..na zigo lote litaniangukia mm(gharama za kumtunza)
Kazi ipo,. Imagine baada ya miaka 10 mbele hali itakuaje.Shida watu hawataki kuface reality mkuuu
We ushashauriwa kuwa uende veta after f4 we unashupaza tu shingo matokeo yake ndo haya....
Ukienda chuo nenda kuchukua ujuzi tu hakikisha unachokisomea ni rahisi kujiajiri
Sasa mtu unaskmea civil engineering ajira hamna mtaji inatakiwa 47M huna uhakika wa tenda ni majuto tu
All in all sikuizi ajira ni bahati ya mtu
Comment nzuri sana hii.Mleta agenda hii uko sahihi kwa 100%
Shida ya ajira imekuwa kubwa mno
Na inaendelea kuwa kubwa sana
Ukiangalia mfumu ya elimu umekaa kibiashara pia
(Yaani vyup pia ni biashara inafanywa)
Maana unalipa Ada ili upate elimu
What next baada ya kumaliza sio issue kwa
Wanabaki ku focus kupata batch mpya
Hili jambo linahitaji mjadala mpana labda pia kubadilisha mfumo mzima wa elimu.
Ifike mahali tuachane na bookish
(Elimu ya kuwinda white colour jobs)
Na kwenda elimu ya ufundi na vitendo zaidi
Ama elimu ya kumuwezesha kijana kufanya jambo la
Either
Ufundi
Ukulima(hapa ardhi tunayo maji tunayo)
Uvuvi(bahari na maziwa tunavyo)
Ufuguji wa kisasa(Ardhi kubwa ipo)
Uzalishaji wa nguo(kurejesha viwanda vya pamba na kuanza kuzalisha vitambaa)
Nk
Hayo ni baadhi ya madadililo yanapaswa kufanyika top down
Kimfumo na mtu mmoja mmoja
Nawasilisha.
Mchawi wao alikuwa ni magufuri aliacha ameharibu kila kitu vijana wanatakiwa kwanza wajikubali na wawe na mioyo migumu kama jiwe popote pale ikitokea fursa wewe jichanganye hata zambia nendeniSiku hizi mitaa imepambwa na degrees za kutosha kutoka mavyuoni, Lakini cha ajabu vijana wamekua wakitia huruma kuliko hata aliyemaliza la saba, WANACHUO wengi wanapata taabu sana huku mtaani kuliko hata raia wa kawaida, kiukweli inahuzunisha. Pale kijana anapotoka chuo na matarajio makubwa Lakini ghafla maisha ya mtaa yanazima ndoto zake.
Yapi matunda ya mfumo wetu wa Elimu? Au ni uzembe wa vijana kutojituma wawapo mtaani?
#MyCountryPeople.