Mnapotoa taarifa hakikisheni zinakuwa za ukweli sio lazima kuandika kama huna taarifa kamili.Kamati ya shule ya msingi ya Kibasila wilayani Temeke, imelalamikia wanafunzi zaidi ya 1,900 wa shule za msingi na sekondari mpya kutumia matundu sita ya vyoo yenye hali mbaya
View attachment 1314748
Hii picha ni ya vyoo vya shule iliyopo Kongwa-Dodoma inahusiana vipi na Temeke? Acheni kupotosha watu kwa makusudi.