Hali ya vyoo katika shule za Kibasila wilayani Temeke

Hali ya vyoo katika shule za Kibasila wilayani Temeke

Hii nchi haitaendelea
Kutokana na watu kutojitambua
Kwahiyo mnasema serikali iwe na bajeti ya ujenzi wa vyoo vya shule na usafi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni jambo jema wazazi kuchangia ujenzi wa miundombinu ya shule, lakini sio LAZIMA.

Tunaipa serikali kodi zetu matrilioni ya shilingi ili iboreshe huduma za watu ikiwemo mashule!

Kazi yenu ni kula machips tu na kununua mashangingi ya kunesa nesa?

Hata hivyo tutakutana wapi tufanye maamuuzi hayo na mikutano imepigwa marufuku?
 
Hiyo ni lawama ya uongozi wa shule na wala sio serikali
Mkuu wa shule hapo ndiyo mzembe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata hivyo tutakutana wapi tufanye maamuuzi hayo na mikutano imepigwa marufuku?
Ukiteleza kubali matokeo, hapa umejikwaa na Demi kakusaidia kukuelekeza! Ukiwa majuu usipuuzie huku makwetu! Wenzako Waghana au Wakenya hujitahidi kutafuta wafadhili lakini mwenzetu kila kukicha ni kutunang’a
 
Point yako ni nini...? Elimu isiwe bure..? Ingekuwa vzr kama ungetoa na mapendekezo kuliko kuileta kishabiki ili kufurahisha genge fulani...Nchi yetu sote hii...
Afya bora kwa kila mtu ni kitu muhimu kwa Taifa, Elimu iwe bure iwe ya kulipa vyoo ni kitu muhimu kwa wanafunzi..

Tunasikia manispaa zinakusanya KODI za mabilioni sasa kwanini baadhi ya hizo Pesa zisiende kwenye mambo muhimu kwa hili la kutengeneza vyoo vilivyo na viwangi mashuleni..

Kumbuka watoto ni Taifa la kesho..
 
Hii nchi haitaendelea
Kutokana na watu kutojitambua
Kwahiyo mnasema serikali iwe na bajeti ya ujenzi wa vyoo vya shule na usafi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwalimu mkuu wa shule husika hawajibiki. Kuna vitu vya kusubiri serikali lakini si hivi vyoo. Wala haliwezi kuwa jukumu la mbunge. Shule kama hii ukimpa mwalimu mkuu anayewajibika ana uwezo wa kufanya jambo hapo. Kuanzia hata hivyo vilivyopo vingefanyiwa ukarabati wa dhararu viwekwe na milango.
 
Kamati ya shule ya msingi ya Kibasila wilayani Temeke, imelalamikia wanafunzi zaidi ya 1,900 wa shule za msingi na sekondari mpya kutumia matundu sita ya vyoo yenye hali mbaya
View attachment 1314748
Sky Eclat nahisi ulikua unakaa maeneo ya Chang'ombe miaka ile na wazazi wako kabla hamjaenda nje ya nchi. Why Kibasila
 
hiyo shule ipo mita chache toka ofisi za Mkuu wa wilaya na Manispaa ya Temeke viongozi angalau waone aibu na kurekebisha hiyo hali
 
Back
Top Bottom