Hali ya usalama nchini inazidi kuwa tete

Hali ya usalama nchini inazidi kuwa tete

Kilichokuwa kiwe uchaguzi mkuu Tanzania kwa mujibu wa katiba yake, kimepita na yaliyotokea sote tunayafahamu!

Bado taifa halijatulia, bado fukuto lipo, la dhuluma, la maumivu, la ukatili mkubwa uliitokea nknk
Hofu kwa upande wa pili ni kubwa zaidi.. Nadhani intelijensia inawapenyezea hali halisi... Ni lazima lifanyike jambo la maamuzi magumu sana kwa upande wao ili kuweza kutamatisha hii hali

Kamatakamata na utekaji unaoendelea havina afya kwa taifa bali vinazidisha uchungu na maumivu kwa yaliyokwisha tokea

Haya mambo yanazidisha usugu na kuzalisha uasi... Haitakaa itokee watu wanyamaze mazima kama matakwa yao ya kikatiba hayatatekelezwa

Kiasili binadamu amezaliwa kuongea, ni vigumu sana kumziba mdomo asiongee! Kwa kufanya hivyo unazalisha kitu kingine hatari zaidi

Wakosoaji waachiwe waongee ndio njia pekee iliyobaki ya kuwapunguzia maumivu na fukuto mioyoni mwao! Haitakaa itokee kuwanyamazisha wote kwa kuwateka, kuwapoteza, kuwatesa, kuwabambikia kesi kubwa zisizo na dhamana ama kuwaweka kizuizini kwa kesi ghushi

Kufanya hivyo hakuleti suluhu bali kunaongeza tatizo ambalo siku likikomaa tufani yake itakuwa na mshindo mkubwa sana!

Ukiwabufaza waliopo kwa mbinu mbalimbali kuna kundi lingine kubwa nyuma yao litaibuka. Ambalo ni
Kubwa zaidi
Baya zaidi

Kwaweli tumechoka kuzika, tumechoka kupoteza ndugu jamaa na marafiki,
Tumechoka kuhudhuria kesi za michongo
Kutibu majeraha na majeruhi wa ukatili vituo vya police
Wahanga ni wengi sana na kila mhanga ana chain ya watu wasiopungua 20! Mnadhani tunalipeleka wapi taifa

Taifa linaingia kwenye mdororo mkubwa wa kiuchumi.. Madhara yake yataonekana mwakani.. Badala ya kuwekeza kwenye umoja wa kitaifa ili nguvu kazi iliyopo itumike kwenye uzalishaji.. Tumewekeza kwa machawa na kutaka kufubaza nguvu kazi hiyo! Je mnadhani tutafika?

Tunatumia muda mwingi na rasilimali kuwinda watu

Tunatumia muda mwingi na rasilimali kuwateka

Tunatumia muda mwingi kuwatesa na kuwadhalilidha

Tunawaumiza kwa kuwasababidshia majeraha na ulemavu

Nao wanatumia muda mwingi kujitibu, kujiuguza na kuhudhuria kesi za mchongo.. Huu ni uhujumu uchumi
Tunazalisha yatima wajane na wagame bila kujua.. Familia zinasambaratika.. Breadwinners wengi katika familia ndio hao walioko kwenye madhila ya kila aina!

Je wenye hekima na uthubutu wameisha Tanganyika!?View attachment 3518334
Alianza Magufuli, wakamsifu shujaa, jiwe, mzalendo nk,, amefuatia Samia, anauwa atakavyo, atakuja mwingine mwendo ni ule, ule wa kupokezana vijiti.

Mtapiga kelele ndivyo wanazidi kuteka kuuwa na kufanya wanavyotaka. Hawaogopi.

Tabia ya damu ni kujenga usugu, na inadai damu nyingine tena na tena.

Mkiongozwa na walawiti, wauaji, watesaji, ni rasmi Tanganyika iko mikononi mwa Lusifa shetani mkuu akiwatumia watawala.
 
Kwanini tusiitishe kikao na serikali tuwaombe watuagizie bastora kila raia mwenye akili timamu ili kuweza kuwadhibiti watekaji?

NAWASILISHA.🤣
 
Ukwelli utasemwa tu mkubali au msikubali hilo lipo juu yenu it's not our problem

Iwe mnatuita chawa au kunguni ni tatizo lenu na sio letu,sisi ni wapigania amani na kuokoa vijana ambao hawajielewi

Iko hivi,ni ujinga mkubwa sana kutaka kushindana na dola,msipo elewa hlli somo mtatekwa kila siku na kuleta majonzi kwenye familia zenu

Hii serikali imejipambanua ni kiziwi,kwahiyo haijalishi mtapiga kelele kiasi gani hamna kitu mtawafanya,ndio maana mpaka wamekuwa na gati ya kuwaambia wazungu ambao wanatupa misaada kwamba wao ni nani?

Hapo mnashindwa kuona hulka ya hii dola, je mnataka matukio mangapi yatokee ndio akili ziwakae sawa na kuona hatar ya kuropoka hovyo kuhusiana na serikali

Unafikir kwanini sisi wataka amani tunachukua tahadhari zaidi kwa kuwaelimisha vijana wasiandamane na kuleta fujo na vurugu,kwakuwa tunajua hapo ndipo penye mtego mkubwa:

Mosi, kwa mijadala ya mitandaoni na akili za Gen Z ambao hata jf wapo,unaona kabisa wapo kifujo zaidi,hasira zipo karibu mno,hawa wakitingishwa kidogo wanaenda kuchoma mali za watu

Pili, kwa mujibu wa dola ukiukwaji wowote wa taratibu wa sheria ni kosa,hivyo unapaswa kuadhibiwa,je watatumia nguvu kiasi gani wanajua wao

Kuepuka yote hayo kwanini msijiepushe na mazingira ambayo yatawaletea matatizo?

Mwenye akili asikie na mwenye kukaza fuvu akaze

Hatuhitaji likes zenu wala comment zenu,what we need is to tell you the truth

Asante
NDUGU Umetoa ushauri wa hekima sana lakini nakuhakikishia tuna nyumbu wenye DNA za binadamu hawatakusikia na wala hawakusikiii nawasilikiliza sana huko TIK TOK na maria space utaona kabisa wanadhamiria kutufanya kandahar ,torabora au Gaza au enzi zile chechinia hawana dalili ya amani na kero wanawinda hadi watu binafsi unadhani leo nikimuona G-Z anakaribia kwa jirani namfyatua tu au kama njiani una gari kubwa kidogo SUV wapitie kunguta kweli kweli majambazi haya
 
Kilichokuwa kiwe uchaguzi mkuu Tanzania kwa mujibu wa katiba yake, kimepita na yaliyotokea sote tunayafahamu!

Bado taifa halijatulia, bado fukuto lipo, la dhuluma, la maumivu, la ukatili mkubwa uliitokea nknk
Hofu kwa upande wa pili ni kubwa zaidi.. Nadhani intelijensia inawapenyezea hali halisi... Ni lazima lifanyike jambo la maamuzi magumu sana kwa upande wao ili kuweza kutamatisha hii hali

Kamatakamata na utekaji unaoendelea havina afya kwa taifa bali vinazidisha uchungu na maumivu kwa yaliyokwisha tokea

Haya mambo yanazidisha usugu na kuzalisha uasi... Haitakaa itokee watu wanyamaze mazima kama matakwa yao ya kikatiba hayatatekelezwa

Kiasili binadamu amezaliwa kuongea, ni vigumu sana kumziba mdomo asiongee! Kwa kufanya hivyo unazalisha kitu kingine hatari zaidi

Wakosoaji waachiwe waongee ndio njia pekee iliyobaki ya kuwapunguzia maumivu na fukuto mioyoni mwao! Haitakaa itokee kuwanyamazisha wote kwa kuwateka, kuwapoteza, kuwatesa, kuwabambikia kesi kubwa zisizo na dhamana ama kuwaweka kizuizini kwa kesi ghushi

Kufanya hivyo hakuleti suluhu bali kunaongeza tatizo ambalo siku likikomaa tufani yake itakuwa na mshindo mkubwa sana!

Ukiwabufaza waliopo kwa mbinu mbalimbali kuna kundi lingine kubwa nyuma yao litaibuka. Ambalo ni
Kubwa zaidi
Baya zaidi

Kwaweli tumechoka kuzika, tumechoka kupoteza ndugu jamaa na marafiki,
Tumechoka kuhudhuria kesi za michongo
Kutibu majeraha na majeruhi wa ukatili vituo vya police
Wahanga ni wengi sana na kila mhanga ana chain ya watu wasiopungua 20! Mnadhani tunalipeleka wapi taifa

Taifa linaingia kwenye mdororo mkubwa wa kiuchumi.. Madhara yake yataonekana mwakani.. Badala ya kuwekeza kwenye umoja wa kitaifa ili nguvu kazi iliyopo itumike kwenye uzalishaji.. Tumewekeza kwa machawa na kutaka kufubaza nguvu kazi hiyo! Je mnadhani tutafika?

Tunatumia muda mwingi na rasilimali kuwinda watu

Tunatumia muda mwingi na rasilimali kuwateka

Tunatumia muda mwingi kuwatesa na kuwadhalilidha

Tunawaumiza kwa kuwasababidshia majeraha na ulemavu

Nao wanatumia muda mwingi kujitibu, kujiuguza na kuhudhuria kesi za mchongo.. Huu ni uhujumu uchumi
Tunazalisha yatima wajane na wagame bila kujua.. Familia zinasambaratika.. Breadwinners wengi katika familia ndio hao walioko kwenye madhila ya kila aina!

Je wenye hekima na uthubutu wameisha Tanganyika!?View attachment 3518334
We need armed struggle! Kila avenue itumike kujikomboa
 
Najiuliza, kwanini Polepole alijiaminisha kuwa hapa? Nani alimdanganya? Very sad!
 
Inategemea na hekima yao
Hakuna mwenye hekima kati yao ukikumbuka kuwa huyo huyo Kikwete ndio aliyeamuru mwandishi Mwangosi apigwe bomu ; hivyo hashindwi kumumshurutisha Samia kufanya uhalifu kama ule alioufanya kule Iringa!
 
Ukiona mchawi mahiri kama mshana Jr amestopisha shughuli zake za usihiri (kuloga na kuagua) kwa ajili ya kuipigania nchi yake jua hali imekuwa tete mno.Mkuu naamini umejaribu kumtupia kombora yule malkia wa kuzimu ila likadunda
 
Hakuna mwenye hekima kati yao ukikumbuka kuwa huyo huyo Kikwete ndio aliyeamuru mwandishi Mwangosi apigwe risasi ; hivyo hashindwi kumumshurutisha Samia kufanya uhalifu kama ule alioufanya kule Iringa!
Alipigwa bomu likampasua na sio risasi
 
Ukiona mchawi mahiri kama mshana Jr amestopisha shughuli zake za usihiri (kuloga na kuagua) kwa ajili ya kuipigania nchi yake jua hali imekuwa tete mno.Mkuu naamini umejaribu kumtupia kombora yule malkia wa kuzimu ila likadunda
😀😀😀 mkuu on serious talk pale buy pazito mno! Pazito hasa! Na kwasasa damu kubwa ndio engine
 
Walioshiriki wote kwenye zile vurugu, ni suala la muda tu, kila mtu kwa wakati wake atafikiwa, salama yako uwe umetangulia mbele ya haki. Tulipokuwa tunawaasa kuhusu kutunza amani tuliitwa majina ya kila aina na kutukanwa matusi yote. Sasa ni wakati wa kila mtu abebe mzigo wake. Umekaa Tanzania unajazwa ujinga na mtu ambaye yuko nje ya nchi. Ni muda wa kujifunza in a hard way.
 
Haiji kutulia Mpaka watakapooana kmharufu ya uozo inazidi kuongezeka,na larva wanasambaa.

Na tutawapinga Kila siku,Kila sehemu.
 
Hakuna mwenye hekima kati yao ukikumbuka kuwa huyo huyo Kikwete ndio aliyeamuru mwandishi Mwangosi apigwe risasi ; hivyo hashindwi kumumshurutisha Samia kufanya uhalifu kama ule alioufanya kule Iringa!
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUPELEKWA GEREZANI MWANACHAMA WETU DEOGRATIAS PIUS MUSHI KABLA YA KUFIKISHWA MAHAKAMANI.
1766290384202.jpg
 
Back
Top Bottom