Hali ya usalama nchini inazidi kuwa tete

Hali ni tete uko kwenu na Kina Maria Sarungi,ila Watanzania wapo salama na wanafanya kazi kama kawaidaa mkuu!
 
Kilichokuwa kiwe uchaguzi mkuu Tanzania kwa mujibu wa katiba yake, kimepita na yaliyotokea sote tunayafahamu!

Bado taifa halijatulia, bado fukuto lipo, la dhuluma, la maumivu, la ukatili mkubwa uliitokea nknk
Hofu kwa upande wa pili ni kubwa zaidi.. Nadhani intelijensia inawapenyezea hali halisi... Ni lazima lifanyike jambo la maamuzi magumu sana kwa upande wao ili kuweza kutamatisha hii hali

Kamatakamata na utekaji unaoendelea havina afya kwa taifa bali vinazidisha uchungu na maumivu kwa yaliyokwisha tokea

Haya mambo yanazidisha usugu na kuzalisha uasi... Haitakaa itokee watu wanyamaze mazima kama matakwa yao ya kikatiba hayatatekelezwa

Kiasili binadamu amezaliwa kuongea, ni vigumu sana kumziba mdomo asiongee! Kwa kufanya hivyo unazalisha kitu kingine hatari zaidi

Wakosoaji waachiwe waongee ndio njia pekee iliyobaki ya kuwapunguzia maumivu na fukuto mioyoni mwao! Haitakaa itokee kuwanyamazisha wote kwa kuwateka, kuwapoteza, kuwatesa, kuwabambikia kesi kubwa zisizo na dhamana ama kuwaweka kizuizini kwa kesi ghushi

Kufanya hivyo hakuleti suluhu bali kunaongeza tatizo ambalo siku likikomaa tufani yake itakuwa na mshindo mkubwa sana!

Ukiwabufaza waliopo kwa mbinu mbalimbali kuna kundi lingine kubwa nyuma yao litaibuka. Ambalo ni
Kubwa zaidi
Baya zaidi

Kwaweli tumechoka kuzika, tumechoka kupoteza ndugu jamaa na marafiki,
Tumechoka kuhudhuria kesi za michongo
Kutibu majeraha na majeruhi wa ukatili vituo vya police
Wahanga ni wengi sana na kila mhanga ana chain ya watu wasiopungua 20! Mnadhani tunalipeleka wapi taifa

Taifa linaingia kwenye mdororo mkubwa wa kiuchumi.. Madhara yake yataonekana mwakani.. Badala ya kuwekeza kwenye umoja wa kitaifa ili nguvu kazi iliyopo itumike kwenye uzalishaji.. Tumewekeza kwa machawa na kutaka kufubaza nguvu kazi hiyo! Je mnadhani tutafika?

Tunatumia muda mwingi na rasilimali kuwinda watu

Tunatumia muda mwingi na rasilimali kuwateka

Tunatumia muda mwingi kuwatesa na kuwadhalilidha

Tunawaumiza kwa kuwasababidshia majeraha na ulemavu

Nao wanatumia muda mwingi kujitibu, kujiuguza na kuhudhuria kesi za mchongo.. Huu ni uhujumu uchumi
Tunazalisha yatima wajane na wagame bila kujua.. Familia zinasambaratika.. Breadwinners wengi katika familia ndio hao walioko kwenye madhila ya kila aina!

Je wenye hekima na uthubutu wameisha Tanganyika!?View attachment 3518334
Yes,
TZ security forces has zero tolerance to any terrorists suspects elsewhere within the country.

Hakuna muhalifu alie salama Tanzania.
be careful :NoGodNo:
 
Yesu alikuwa akijibu Mafarisayo waliotaka awazuie wanafunzi wake wasimsifu lakini akawaambia kwamba hata wakinyamaza mawe yangepaza sauti.
 
Kilichokuwa kiwe uchaguzi mkuu Tanzania kwa mujibu wa katiba yake, kimepita na yaliyotokea sote tunayafahamu!

Bado taifa halijatulia, bado fukuto lipo, la dhuluma, la maumivu, la ukatili mkubwa uliitokea nknk
Hofu kwa upande wa pili ni kubwa zaidi.. Nadhani intelijensia inawapenyezea hali halisi... Ni lazima lifanyike jambo la maamuzi magumu sana kwa upande wao ili kuweza kutamatisha hii hali

Kamatakamata na utekaji unaoendelea havina afya kwa taifa bali vinazidisha uchungu na maumivu kwa yaliyokwisha tokea

Haya mambo yanazidisha usugu na kuzalisha uasi... Haitakaa itokee watu wanyamaze mazima kama matakwa yao ya kikatiba hayatatekelezwa

Kiasili binadamu amezaliwa kuongea, ni vigumu sana kumziba mdomo asiongee! Kwa kufanya hivyo unazalisha kitu kingine hatari zaidi

Wakosoaji waachiwe waongee ndio njia pekee iliyobaki ya kuwapunguzia maumivu na fukuto mioyoni mwao! Haitakaa itokee kuwanyamazisha wote kwa kuwateka, kuwapoteza, kuwatesa, kuwabambikia kesi kubwa zisizo na dhamana ama kuwaweka kizuizini kwa kesi ghushi

Kufanya hivyo hakuleti suluhu bali kunaongeza tatizo ambalo siku likikomaa tufani yake itakuwa na mshindo mkubwa sana!

Ukiwabufaza waliopo kwa mbinu mbalimbali kuna kundi lingine kubwa nyuma yao litaibuka. Ambalo ni
Kubwa zaidi
Baya zaidi

Kwaweli tumechoka kuzika, tumechoka kupoteza ndugu jamaa na marafiki,
Tumechoka kuhudhuria kesi za michongo
Kutibu majeraha na majeruhi wa ukatili vituo vya police
Wahanga ni wengi sana na kila mhanga ana chain ya watu wasiopungua 20! Mnadhani tunalipeleka wapi taifa

Taifa linaingia kwenye mdororo mkubwa wa kiuchumi.. Madhara yake yataonekana mwakani.. Badala ya kuwekeza kwenye umoja wa kitaifa ili nguvu kazi iliyopo itumike kwenye uzalishaji.. Tumewekeza kwa machawa na kutaka kufubaza nguvu kazi hiyo! Je mnadhani tutafika?

Tunatumia muda mwingi na rasilimali kuwinda watu

Tunatumia muda mwingi na rasilimali kuwateka

Tunatumia muda mwingi kuwatesa na kuwadhalilidha

Tunawaumiza kwa kuwasababidshia majeraha na ulemavu

Nao wanatumia muda mwingi kujitibu, kujiuguza na kuhudhuria kesi za mchongo.. Huu ni uhujumu uchumi
Tunazalisha yatima wajane na wagame bila kujua.. Familia zinasambaratika.. Breadwinners wengi katika familia ndio hao walioko kwenye madhila ya kila aina!

Je wenye hekima na uthubutu wameisha Tanganyika!?View attachment 3518334
Mlitegemea muachwe tu baada ya ule ujinga!?
 
uzuri ni matishio madogomadogo yanayotolewa mitandaoni na wanaojita wanaharakati ambao kimsingi huwawezi wakuta kwenye jamii ambazo wazalendo walio wengi wanaendelea na majukumu yao ya kila siku
Akina Dr. Shika ndo nyie ...we ni dokta wa nini bosi?
 
Dah!

Huu ukatili ni wa kudhamiria toka kwa Rais mwenyewe.

Kwa nini vitendo vya kuzuia majeruhi kutibiwa na kuwapeleka mortuary wakiwa wazima vifanane kwa nchi nzima kila yalipotokea maandamano?

Hiyo kumbe ilikuwa ni order maalumu ya kuangamiza waandamanaji!

Haya mambo ya kishetani waTz tuyakatae wazi wazi bila ya kumumunya maneno.
 
Acheni maneno ya uzushi ,uongo, uchonganishi na fitina. Najua mnaumia sanaa baada ya maombi yenu mabaya na nia zenu ovu kwa Taifa letu kushindwa vibaya sana. Najua mlikuwa mnatamani na Kuwa na kiu kubwa sana ya kutaka kuona machafuko yakitokea hapa Nchini na Amani na usalama vikitoweka kama ukungu.

Lakini baada ya kushindwa na watanzania kuwashitukieni na kugoma kuendelea kuwaungeni mkono mmebakia na maumivu sana. Mnaumia na kuchanganya kabisa mnapoona watanzania wakiendelea kuwa wamoja,kuiunga mkono serikali na Rais wetu Mpendwa.

Mnateseka sana mioyo yenu na kujaribu kuendelea kuleta vijimaneno vya uzushi ,uongo na uchonganishi kila uchao. Hata hivyo hamtafanikiwa hata kidogo.mtaendelea kushindwa vibaya sana. Tena kama wewe ulipiga sana malamli yako . Sasa aibu imekushika na unaanza kuja kujibaraguza hapa ukifikiri wote ni wajinga kama wewe.
Waambie basi hao wananchi wasapoti na wasanii wasife njaa kama wanavyoiunga mkono serikali na Samia.
 
uzuri ni matishio madogomadogo yanayotolewa mitandaoni na wanaojita wanaharakati ambao kimsingi huwawezi wakuta kwenye jamii ambazo wazalendo walio wengi wanaendelea na majukumu yao ya kila siku

Mimi nashangaa, Kariakoo na hata Kimara watu wanaendelea na shughuli zao kama kawaida, hata Mwanza na Arusha nina ndugu na jamaa kila nikiongea nao, wananiambia watu wako bize na mishemishe zao
Lakini ukiingia mitandaoni utadhani uko Tanzania nyingine sio hii ninayoishi mimi.
Wapuuzi hawa wana kazi sana
 
Ukwelli utasemwa tu mkubali au msikubali hilo lipo juu yenu it's not our problem

Iwe mnatuita chawa au kunguni ni tatizo lenu na sio letu,sisi ni wapigania amani na kuokoa vijana ambao hawajielewi

Iko hivi,ni ujinga mkubwa sana kutaka kushindana na dola,msipo elewa hlli somo mtatekwa kila siku na kuleta majonzi kwenye familia zenu

Hii serikali imejipambanua ni kiziwi,kwahiyo haijalishi mtapiga kelele kiasi gani hamna kitu mtawafanya,ndio maana mpaka wamekuwa na gati ya kuwaambia wazungu ambao wanatupa misaada kwamba wao ni nani?

Hapo mnashindwa kuona hulka ya hii dola, je mnataka matukio mangapi yatokee ndio akili ziwakae sawa na kuona hatar ya kuropoka hovyo kuhusiana na serikali

Unafikir kwanini sisi wataka amani tunachukua tahadhari zaidi kwa kuwaelimisha vijana wasiandamane na kuleta fujo na vurugu,kwakuwa tunajua hapo ndipo penye mtego mkubwa:

Mosi, kwa mijadala ya mitandaoni na akili za Gen Z ambao hata jf wapo,unaona kabisa wapo kifujo zaidi,hasira zipo karibu mno,hawa wakitingishwa kidogo wanaenda kuchoma mali za watu

Pili, kwa mujibu wa dola ukiukwaji wowote wa taratibu wa sheria ni kosa,hivyo unapaswa kuadhibiwa,je watatumia nguvu kiasi gani wanajua wao

Kuepuka yote hayo kwanini msijiepushe na mazingira ambayo yatawaletea matatizo?

Mwenye akili asikie na mwenye kukaza fuvu akaze

Hatuhitaji likes zenu wala comment zenu,what we need is to tell you the truth

Asante
 
Acheni maneno ya uzushi ,uongo, uchonganishi na fitina. Najua mnaumia sanaa baada ya maombi yenu mabaya na nia zenu ovu kwa Taifa letu kushindwa vibaya sana. Najua mlikuwa mnatamani na Kuwa na kiu kubwa sana ya kutaka kuona machafuko yakitokea hapa Nchini na Amani na usalama vikitoweka kama ukungu.

Lakini baada ya kushindwa na watanzania kuwashitukieni na kugoma kuendelea kuwaungeni mkono mmebakia na maumivu sana. Mnaumia na kuchanganya kabisa mnapoona watanzania wakiendelea kuwa wamoja,kuiunga mkono serikali na Rais wetu Mpendwa.

Mnateseka sana mioyo yenu na kujaribu kuendelea kuleta vijimaneno vya uzushi ,uongo na uchonganishi kila uchao. Hata hivyo hamtafanikiwa hata kidogo.mtaendelea kushindwa vibaya sana. Tena kama wewe ulipiga sana malamli yako . Sasa aibu imekushika na unaanza kuja kujibaraguza hapa ukifikiri wote ni wajinga kama wewe.
Sasa hivi naona umeyazoea Madole unayopigwa hapo katikati ya makalio
 
Back
Top Bottom