Hali ya Tundu Lissu imeendelea kuimarika na sasa anaweza kula mwenyewe

Mungu wa Eliya ameshainua wasaidizi wako waaminifu na waliokosa woga hata chembe. Zitto and now Nyalandu.
 
Kumbe kuumizwa imempa credit eeh...mimi mwanasiasa bora kwa mwezi huu ni Lazaro Nyalandu kwa kukimbia chama cha sizonje!
 
Lissu the mighty! Haina ubishi na ndie mwanasiasa bora wa mwaka huu! Over hutaki jikojolee
 
Yaani huwa nashangaa kuwaona wananchi wa Tanzania munakataa kutii sheria bila shuruti.

Weeks kadhaa zilizopita ilitoka amri ya kutokumzungumzia huyu Msomi Ndutu Suli,na watu bila kujali munaendelea kumuandika huku....au hiyo sheria imekwisha futwa au ilikuwa haina uhalali...mimi napenda saana kufuata sheria na kufanya Ibada.
KWA LIPI HASA TUSIMUONGELEE TUSIYEMTAKA NI HUYU ASIYEJULIKANA NA KUROPOKA HOVYOHOVYO KM MWEHU
 
Akirudi atakuta tumepiga hatua ya maendeleo makubwa kwa kasi bila kujali kutokuwepo kwake
 
Tindu Lissu watanzania tunakupenda sana
He is a real man in the real sense, we the rest, are coward. Get well soon, Tanzania adores you more than you would imagine. Your resemblance, is truth. Ukweli humweka huru kila mtu aaminiye.
 
Kwanza kabisa nianze kwa kumshukuru Mungu wetu Mponyaji ambaye amejidhihirisha kwamba yeye ni mkuu kuliko Mwanadamu yeyote aliye chini ya Jua kupitia kwa Ndugu yetu na Rafiki yetu Tundu Lissu.Sifa na Utukufu tumpe yeye.

Hakika baada ya tukio lile kuna baadhi ya watu wenye roho mbaya na chuki iliyopitiliza waliaza kupiga ramli kuhusu Lissu wa sasa.

Walianza kwa kusema hatopona na kadri siku zilivyozidi kuyoyoma waliumbuka. Baada ya hapo wakabadili gia angani na kusema akirudi atakua amejaa woga hatothubutu kufungua Mdomo. Lakini majuzi tu Kamanda alionekana kwenye picha mbalimbali akionekana jasiri na aliyejawa na Furaha.

Swali langu ni moja tu kwa hao viumbe ambao tunao hata hapa; maana walijaza nyuzi huku na comment mbalimbali kupitia zile picha ambazo hampendi kuziona.

Je bado mna mnaweza kutamba kwamba Lissu atafuata nyayo za waliokumbana na maswahibu kama yake huko nyuma kwamba atakua mwoga kupitiliza na hatothubutu kufungua Mdomo?

Ningependa kupata majibu hasa ya wale wenye Roho mbaya ambao wanajulikana hapa ..
 
c25e59311e57129c51dbcf6264b0aa65.jpg

God is great...
Lissu is Hero..!!!
 
Back
Top Bottom