Hali ya Tundu Lissu imeendelea kuimarika na sasa anaweza kula mwenyewe

Kuna binadamu wa kule mtaa wa lumumba
-Roho mbaya
-Chuki

Sasa hivi mimacho puuuuu kumzushia nyarandu

Alipokuwa ccm, hakuwa nadhambi.... Kuhama daaaa
 
Kwanza kabisa nianze kwa kumshukuru Mungu wetu Mponyaji ambaye amejidhirisha kwamba yeye ni mkuu kuliko Mwanadamu yeyote aliye chini ya Jua kupitia kwa Ndugu yetu na Rafiki yetu Tundu Lissu.Sifa na Utukufu Tumpe yeye. Hakika Baada ya Tukio lile kuna Baadhi ya watu wenye Roho mbaya na chuki iliyopitiliza Waliaza kupiga Ramli kuhusu Lissu wa Sasa. Walianza kwa kusema hatopona na kadri siku zilivyozidi kuyoyoma waliumbuka.Baada ya hapo Wakabadili Gia angani na kusema akirudi atakua amejaa woga hatothubutu kufungua Mdomo,Lakini Majuzi tu Kamanda alionekana kwenye Picha mbalimbali akionekana Jasiri na aliyejawa na Furaha. Swali langu ni moja tu kwa hao Viumbe ambao Tunao hata hapa,Maana walijaza Nyuzi huku na Comment mbalimbali:Kupitia zile Picha ambazo hampendi kuziona,"Bado mna mnaweza Kutamba kwamba Lissu atafuata nyayo za waliokumbana na maswahibu kama yake huko nyuma kwamba atakua mwoga kupitiliza na hatothubutu kufungua Mdomo? Ningependa kupata majibu hasa ya wale wenye Roho mbaya ambao wanajulikana hapa ..
Hauna Nyimbo CHADEMA WEWE..... SIASA MPAUKO CHAKA LA WASALITI NA MAFISADI.... Peoples!
 
Alaaniwe na uongozi wake na familia yake yote aliyeongoza kwa kupanga na kuagiza shambulio hili..! Roho mbaya km shetani..!
 
Back
Top Bottom