Hali ya Tanzania na Rwanda si Shwari-Benard Membe

Hali ya Tanzania na Rwanda si Shwari-Benard Membe

Mkuu fafanua nimepita mtaani nasikia lawama

Wabunge wengi wanahitaji semina za kidiplomasia.Mbunge Kessy hana Diplomatic language katika kuchangia hoja za kidiplomasia.Huwezi kuituhumu Zanzibar kuwa hawachangii kitu kwa hiyo kama wakitaka kutoka kwenye Muungano watoke.Huwezi kuituhumu nchi jirani kuwa inafadhili M-23 na pia kuwa inaiba mali Congo .Waziri Bernard Membe ameni-dissappoint sana kwa kupiga makofi wakati mbunge huyo wa Nkasi akitoa undiplomatic language ndani ya Bunge la Jamhuri.Membe Kupiga Makofi maana yake ametoa Applausing Consent na kwamba aliyosena huyo mbubge wa CCM ndio msimamo wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Nitawashangaa sana Wabunge wa Zanzibar kama hawatafanya Diplomatic Walk Out as a protest unless Ameomba Radhi.Naibu Spika nae analeta mzaha kuwa mmeleta mambo ya kwenye Bunge la Samwel Sitta(Bunge la Katiba) kwenye Bunge hili.Naye anahitaji semina ya kidiplomasia .Bunge la Samwel Sitta lina heshima ya kikanuni na matumizi ya lugha zenye staha na zisizoudhi(Diplomatic Language).Sasa nae ametoa reckless statement...!

UN Report iliituhumu Rwanda lakini Azimio 2098 la kuunda Intervention Brigade halikuijadili Rwanda.Kessy hata hajafanya rejea ya Ripoti hiyo labda Membe amsaidie baadae.Lakini hata kama ndio hivyo hakuna adhabu ambayo Rwanda imekabiliwa nayo kupitia maazimio ya UN Security Council.Maana Rwanda ingewekewa Vikwazo

Lugha ya Diplomasia maana yake ni mtu kukuambia "kafie mbali" au "Go to Hell" kwa njia isiyoudhi na kukera.

Mwanadiplomasia akikuambia NDIYO anamaanisha LABDA,akikuambia LABDA anamaanisha HAPANA na anapokuambia HAPANA basi SIO Mwanadiplomasia tena.

Wabunge wa sampuli hii sidhani hata kama wanalinda hadhi ya pasi za kidiplomasia wanapokua safarini nje ya nchi

Leo tutarajie Membe kutumia Flirtiring Skills kukwepa kujibu hoja maana ni bingwa wa Flirtiring.Natarajia wabunge wambane kuhusu Balozi za nje,Review ya Economic Diplomacy Policy,Migogoro ya majirani zetu,Uchaguzi wa Malawi na Role ya Tanzania katika SADC katika kulinda values za SADC,Diaspora na pia aibu ya kushindwa kuwa na takwimu sahihi ya idadi ya watanzania nje kama alivyokiri juzi kuhusu Sudani Kusini ambako tulishindwa kufanya Evacuation ya raia wetu ilipotokea Machafuko
 
Mheshimiwa Waziri anatia mada hiyo sasa hivi Bungeni na anasema sababu kubwa ni wachonganishi.

Katika mawaziri vilaza huyu jamaa yumo ana IQ ndogo sana halafu eti na yeye anataka awe rais ha ha ha jk kaufanya urais uonekane ni wa mchezo mchezo tu hata maboya nao wana utaka.
 
tuwaogope rwanda, wanatisha wale jamaa, wana akili sana
 
waziri anaropoka eti m23 ni wanyarwanda, anamchokonoa kamanda kagame nini
 
Membe hakika amelikoriga. Speaking that low!!! Mkuu wake wa kazi amesikia huo utumbo??? Kagame Kagame!!! Mabifu ya serikali tawala na Kagame msisingizie upinzani. Leo ccm mmejianika mchana kweupe bila nguo i.e chiu.
 
Hela ipo sana! Jamaa wanakuja wanachukua wanaondoka zao wakati waafrika wanabaki kuuana!
Jamaa wanaenda wanakula mikate wanatupa misaada ambayo viongozi wetu wanaenda kula kuku!

inafikiaje hadi majirani wanakosana, ukiangalia ramani ya dunia utaona nchi zilivoungana, afu ukirudi kuangalia ramani ya africa utaona vilivojitenga afu vinasumbuana daily huku hela havina...
 
Katika mawaziri vilaza huyu jamaa yumo ana IQ ndogo sana halafu eti na yeye anataka awe rais ha ha ha jk kaufanya urais uonekane ni wa mchezo mchezo tu hata maboya nao wana utaka.

koma kabisa waziri kilaza ni mushikiwabo
 
Kuhusiana na uhusiano wetu na Rwanda naiunga mkono serekali ya Kikwete tuache unafiki Rwanda inatakiwa itiwe adabu haiwezi kutuchezea ebu tuwe wazalendo japo kiduchu.

hawa mapim.bi wanadhani kagame akiwapa nchi watakuwa huru, atawaendesha kama anavyomuendesha kabila junior!
 
Hawa jamaa wanahangaika kweli kuipiganisha Tanzania na Rwanda kwa mgogoro wao binafisi. Walisha wapiga m23 na wakawaondoa Congo. Sasa kuna haja gani kuuendeleza mgogoro huu na kwa masilahi ya nani na hata kama ni kweli kwanini wamfunge panga kengele. UN ndio yenye utafiti na riport yao jukumu la kuitangaza ni la Membe. Ni kweli Rwanda ni tatizo Congo lakini kununua mgogoro huo na kuuhamishia tanzania au kuitumbukiza nchi vitani na majirani halikubaliki. Baada ya kushindwa kujenga uchumi ccm wanaanzisha vita na majirani. Hatar sana kuwa na leader ambao ni negative thinkers

aliyeleta mgogoro huu bungeni ni membe au wenje mbona unahamisha lawama? TZ haina tatizo lolote na Rwanda, ni Rwanda ndio yenye matatizo na TZ.
 
membe hjakosea popote yuko sahih kabisa. Aliyemwaga ----- ni Tabula lasa Wenje
 
wewe MAHORO ni mtutsi usituletee ujinga wenu huku rwanda nenda kalime viazi milimani bi mdogo wa kagame
 
Back
Top Bottom