Hali ya Tanzania na Rwanda si Shwari-Benard Membe

Hali ya Tanzania na Rwanda si Shwari-Benard Membe

FDLR will never rule Rwanda, no freaking way will this band of bloodthirsty genocidaire govern, never!
 
hayo mauaji ya kimbari nani mwenye uhalali wa kuyazungumzia? sio kagame wala serikali ya habyarimana, maana hao wote walikuwa wahusika, bali international community.
international community mpaka leo haijui kabila gani liliuawawa zaidi kati ya watu zaidi millioni 1, na hivyo mauaji ya Rwanda yanakuwa referred as "Rwandan genocide" kwa kutambua kuwa waliuana wote wahutu na watutsi.
Kagame amegeuza hilo mwaka 2004 miaka 10 baadae kuwa "genocide against tutsis"! lakini dunia nzima including kikwete tunajua ukweli wa complexities za mauaji yale, ndio maana hutapata kiongozi yoyote yule nchi yoyote anayempinga kikwete kwa ushauri ule.
Hayo mengine kwa nini uchukue toka kwa kagame, when did FDLR say they want to exterminate all tutsis? hizo ni propaganda za kipuuzi za kagame. Rwanda majority ni wahutu, na wahutu hao hao FDLR ambao walikuwa serikali tayari walishakubali mkataba wa maridhiano wa Arusha. Kama wahutu wangetaka ku-exterminate all tutsis si wangefanya hivyo toka walivyopindua nchi 1958? tena wakati huo 1958 wahutu walikuwa extremists kweli kweli.
Leo hii FdLR wenyewe wako tayari kwa mazungumzo na kagame, lakini kagame si tu kuwa hataki bali bado anaendelea kuwaua DRC kwa kutumia proxy armies.

Utasemaje international community haijui ni nani waliuawa zaidi kati ya watusi na wahutu wakati inajulikana wazi ni nani alikuwa anaongoza DOLA!!! Katika nchi za kiafrika commander in chief wa majeshi ni Rais wa nchi na wakati huo Rwanda wahutu ndio walikuwa na serikali/majeshi!!
 
Utasemaje international community haijui ni nani waliuawa zaidi kati ya watusi na wahutu wakati inajulikana wazi ni nani alikuwa anaongoza DOLA!!! Katika nchi za kiafrika commander in chief wa majeshi ni Rais wa nchi na wakati huo Rwanda wahutu ndio walikuwa na serikali/majeshi!!

Hizo za kwako ni dhana tu, ukweli ndio huo, kama vipi wewe lete source yoyote inayothibitisha nani aliuawa zaidi. Hata hiyo idadi yenyewe tu ya watu milioni moja ni estimate tu, hakuna exact figure popote pale.
 
hawa "ndugu" wawili hata kama wanayondika ni kweli wamezid na wanafaa kuitwa wachonganishi..

siamini gazeto linaweza kuwa na taarifa nyingti kuliko waziri anayehudhuria vikao vingi, mwenye wataaalamu lukuki lakn lisemwalo pia lipo
 
Hizo za kwako ni dhana tu, ukweli ndio huo, kama vipi wewe lete source yoyote inayothibitisha nani aliuawa zaidi. Hata hiyo idadi yenyewe tu ya watu milioni moja ni estimate tu, hakuna exact figure popote pale.

tunahitaji uchambuzi wa kina
 
582033_377394232302739_100000964975142_952293_836755044_n.jpg
Huyo ndo MENDE unayemjua!
 
Yani sisi kupeleka majeshi
huko Congo kusiwachukize, halafu maneno ya Wenje ndo yasababishe
watuchukie zaidi!?Mawazo gani hayo mkuu?

Labda kama angesema kuwa yamechochea mgogoro or something else(jambo
ambalo Membe yeye ndo kalifanya).Lakini kusema ni uchonganishi, hilo
halileti mantiki.

Mchonganish hapo(kama anatafuta scape goat), labda wangekuwa UN walio
omba majeshi kutoka kwetu.
hawa akina ben saambil na robo ndio wanatuharibia swala sisi na rwanda tumepiga hatua kubwa wao wana tibua acheni vyombo vya usalama viko mbali sana hizi kelele zitamshtua Kagame
 
Hizo za kwako ni dhana tu, ukweli ndio huo, kama vipi wewe lete source yoyote inayothibitisha nani aliuawa zaidi. Hata hiyo idadi yenyewe tu ya watu milioni moja ni estimate tu, hakuna exact figure popote pale.

Wakati mwingine watu tutumie common sense tu badala ya eti kusema lete source yoyote inayothibitisha; wahutu ndio walikuwa wameshikilia dola hivyo they were more armed kuliko watusi waliokuwa msituni!!! Leo hii askari wenye AK 47 wakipigana na wananchi wenye mapanga unadhani wakina nani watakaouawa zaidi? Do you need some source to answer this?
 
Wakati mwingine watu tutumie common sense tu badala ya eti kusema lete source yoyote inayothibitisha; wahutu ndio walikuwa wameshikilia dola hivyo they were more armed kuliko watusi waliokuwa msituni!!! Leo hii askari wenye AK 47 wakipigana na wananchi wenye mapanga unadhani wakina nani watakaouawa zaidi? Do you need some source to answer this?

Logic yako safi sana, "askari wenye AK 47 wakipigana na wananchi wenye mapanga unadhani wakina nani watakaouawa zaidi?" Hili swali ni zuri sana, lakini kwa bahati mbaya inaonekana hujui kilichotokea. Ingelikuwa simple kama hivyo unavyosema, then common sense hiyo hiyo ingeshangaa how come hao wenye AK-47 walipigwa na wakakimbizwa mpaka DRC congo na hao wenye mapanga? Halafu hao wenye mapanga wawe hapo hapo ndio majority ya waliokufa? Inaingia akilini hii?


HISTORIA FUPI YA VITA:

Fahamu kuwa vita haikuwa kati ya wahutu na watutsi ndani ya Rwanda (wanyarwanda). Vita ilikuwa kati ya jeshi la serikali ya Rwanda na jeshi la waasi wa kitutsi walioitwa RPA wakiongozwa na kagame, watutsi hawa hawakuwa ndani ya Rwanda, bali walitokea Uganda. Vita hivi vilianza mwaka 1990 na kusimama mwaka 1994 baada ya Tanzania kuweka mazungumzo ya amani kati ya serikali ya Rwanda na hili jeshi la RPA wakiongozwa na kagame. Mazungumzo haya yalifikia mwisho baada ya kusainiwa kwa mkataba wa amani uliokubali kuwa RPA na serikali watagawana madaraka katika serikali ya mpito halafu uchaguzi utafanyika.

Sasa angalia yafuatayo:

1. Kumbuka kwa muda awa miaka minne, jeshi la watutsi ndilo lililokuwa likifanya mauaji ya kutisha nchini Rwanda ambako asilimia zaidi ya 80% ya wananchi ni wahutu. Hivyo simple statistics zinakuambia katika maiti kumi, 8 zilikuwa za wahutu. Tuachilie mbali ukweli kuwa watutsi wengi kutokana na historia ya kupendelewa na ukoloni waliishi maeneo ya mijini mijini na sio hayo ambayo RPA ilikuwa inalenga. Vijiji ambavyo RPA walikuwa wanasambaratisha ni vile vilivyokuwa vya wahutu wengi. Ni kama vile hapa bongo ambapo tunaweza kusikia wahindi laki mbili wameuawa tukakubali, lakini hapo hapo taarifa ikisema wahindi hawa laki mbili waliuawa jimboni Loliondo au bumbuli au geita kila mtu atabisha, kwa kuwa wahindi si kawaida kukaa huko kwa wingi namna hiyo. Lakini hata hivyo tutumie hizo simple stats.

2. Jeshi la kagame RPA lilitosha kulihenyesha jeshi la serikali ya Rwanda kwa miaka minne mpaka serikali ikakubali mazungumzo. Hii inaonyesha kuwa jeshi la RPA lilikuwa na nguvu. (siku nyingine nitakueleza kwa nini lilikuwa na nguvu). There is no question kwamba RPA walikuwa superior kwa kila kitu kuanzia silaha mpaka mbinu.

3. kutokana na point namba 2 hapo juu, nikusahihishe kuwa wenye AK-47 walikuwa makundi mawili, moja serikali ya Rwanda, na lile la RPA.

4. Wenye mapanga walikuwa ni kundi la vijana la interahamwe ambao ni kweli walifanya mauaji ya kikatili dhidi ya watutsi kulipiza kisasi cha ndugu zao kuuliwa na jeshi la watutsi la kagame hasa baada ya kutunguliwa kwa ndege ya rais Habyarimana. Habyarimana ndie aliyekuwa anazuia wahutu wasilipe kisasi toka mwaka 90. Kufa kwake kulikata zile breki za hisia. Lakini pia wananchi wa kawaida ambao walikuwa wanajilinda na uvamizi wa RPA pale ambapo RPA walikuwa wanapita.
Ndio maana kuna kitendawili kama kile cha maiti zilizkokuwa zinatupwa mto kagera zinakuja hadi bongo, wakati maeneo hayo yalikuwa yanashikiliwa na jeshi la RPA muda wote wa vita!

5. Baada ya vita kuisha haikuwa na uwezo wa kutambua nani alikufa zaidi ya mwenzie ndio maana inaitwa "Rwandan genocide" hadi leo. Kagame akaanzisha ya kwake mwaka 2004 "genocide against tutsi". Hii sera inakataza kuhesabu ni wahutu wangapi waliokufa, badala yake serikali inapenda kusema jumla tu kwa logic kama za kwako kuwa watutsi ndio wengi, na hao wahutu wachache pia waliuawa na Habyarimana kwa kuwaunga mkono RPA.

6. Tatizo linakuja kuwa utafiti wowote ule, uwe kisayansi au vinginevyo unaonyesha kuwa wahutu ndio majority ya victims, sio tu wa zile siku 100 ambazo RPA walianzisha mashambulizi upya, bali hata baada ya RPA kuchukua nchi kagame amekuwa akiua wahutu wakimbizi nchini DRC kwa sababu anaogopa kuwa kwa vile hawako Rwanda hawezi kuwa-control.

7. Pitia thread hii kwa taarifa zaidi:

https://www.jamiiforums.com/international-forum/633847-tukumbuke-rwandan-genocide-not-otherwise.html
 
Back
Top Bottom