Hali ya Tanzania na Rwanda si Shwari-Benard Membe

Hali ya Tanzania na Rwanda si Shwari-Benard Membe

Atasemaje ni wachonganishi wanasababisha mgogoro kati ya Tz na Rwanda na wakati hapo hapo anasisitizia kuwa Rwanda wanawaunga mkono m23?

Je sisi hatumuungi mkono Kabila? Na pia nasikia FDLR? Sasa uchonganishi unatoka wapi hapo?

Nakwambia chama cha wadudu wa kijani kina majuha sijapata kuona, yaani hata kuzungumza kwa mantiki hawezi? Unafiki wake utamponza kama si hapa basi kaburini na hata siku ya kufufuliwa.
 
Nakwambia chama cha wadudu wa kijani kina majuha sijapata kuona, yaani hata kuzungumza kwa mantiki hawezi? Unafiki wake utamponza kama si hapa basi kaburini na hata siku ya kufufuliwa.

ukibahatika kuipata clip nyake utaona mwenyewe maajabu
 
ngoja Warwanda waliosikia waje na majibu, ukweli huenda tume fuel chuki
 
Membe hajui diplomasia anakuwa carried away na kuongea data nyingi bila sababu ,angejifunza kwa bosi wake Vasco ambaye angefumbafumba maneno hata kama ni bungeni.
 
Membe hajui diplomasia anakuwa carried away na kuongea data nyingi bila sababu ,angejifunza kwa bosi wake Vasco ambaye angefumbafumba maneno hata kama ni bungeni.

tatizo yuko over confidence kujifanya anajua kuliko watu wote
 
Hiyo ndio WORLDVIEW ya Msoga. Tutasukumana nayo hadi Nov 2015. Siku zimebakia chache ukilinganisha na ambazo tumeishi kwa Wabongo wote kufikiri kimsogamsoga (uchimviuchimvi, u-sniffysniffy, usanii, mipasho hata kwenye vitu vya msingi, kutaka kusifiwa hata unapojampa, nk). Tanganyika yenye kuona mwanga mwisho wa tanuli inakuja - iwe ni kuendelea kuwa mikononi mwa ma-CCm au la, tuna uhakika mtawala ye yote ajaye hataendeleza worldview ya msonga! Tutasonga mbele, tutashirikiana na majirani bila visavisa vya uswahilini, nk God Bless Tanganyika.
 
Mheshimiwa Waziri anatia mada hiyo sasa hivi Bungeni na anasema sababu kubwa ni wachonganishi

Kama kuna wachonganishaji mbona wao wanakwepana kwenye majukwaa ya kisiasa? JK hakwenda Rwanda kwenye maadhimisho ya kumbukumbu ya kimbari vivyohivyo Kagame hakuja kwenye maadhimisho ya Muungano, Kagame hakuja kwenye miaka 50 ya uhuru wa Kenya mwezi desemba JK alihudhuria, kwenye vikao ya EAC Kagame kakwepa mwezi uliopita na JK hakwenda Nairobi kuhudhuria utiwaji sahihi wa ujenzi wa miundo mbinu EAC akamtuma Membe.
Nakumbuka kabla ya mwaka jana Kagame alikuwa anakuja TZ mara kwa mara na hakuwahi kikosa sherehe hata moja. Sasa kulikoni?
 
Atasemaje ni wachonganishi wanasababisha mgogoro kati ya Tz na Rwanda na wakati hapo hapo anasisitizia kuwa Rwanda wanawaunga mkono m23?

Je sisi hatumuungi mkono Kabila? Na pia nasikia FDLR? Sasa uchonganishi unatoka wapi hapo?

Mkuu ndege wote wakiimba ni sahihi ila bundi akiimba uchuro
 
Huyu waziri wa mrisho ana kisebusebu na kiroho papo, hivi kweli anasema hayo tena mbele ya wawakilishi?

Huyu jamaa na mwenzake wanataka kuhalalisha ugomvi wao kwa gharama zetu.....

Eti anasema UN ndio wamesema kana kwamba kila linalotamkwa na hao "wazee" kwao ni sahihi....tumuulize kama leo hii Alibashiri akija TZ watamkamata kwa kuwa wazee wanataka ? au mbona ile chenji ya rada wazee walipotaka kutoa masharti alipiga meza eti kwa hasira kuwa wazee wasitupangie ?

Kama wamekuwa na guts kupingana na wazee kwenye hizo ishu za Alibashiri na chenji ya rada, ni vipi kuambiwa m23 ni wanyarwanda ndio wamelivalia kibwaya na kuwa kifua mbele kutamka bungeni ?

Ingekuwa ameambiwa M23 ni Uganda, Kenya au Burundi pia angekuwa na nguvu za kutamka hivyo ?

.......USANII MTUPU na hakuwa na sababu za kufanya hivyo....
 
Kuhusiana na uhusiano wetu na Rwanda naiunga mkono serekali ya Kikwete tuache unafiki Rwanda inatakiwa itiwe adabu haiwezi kutuchezea ebu tuwe wazalendo japo kiduchu.
 
Leo kwa kweli nimeona Membe akiongea.
Amesema kuwa Rwanda ndo ilituma Wanajeshi kuwasaidia M23

Hawa jamaa wanahangaika kweli kuipiganisha Tanzania na Rwanda kwa mgogoro wao binafisi. Walisha wapiga m23 na wakawaondoa Congo. Sasa kuna haja gani kuuendeleza mgogoro huu na kwa masilahi ya nani na hata kama ni kweli kwanini wamfunge panga kengele. UN ndio yenye utafiti na riport yao jukumu la kuitangaza ni la Membe. Ni kweli Rwanda ni tatizo Congo lakini kununua mgogoro huo na kuuhamishia tanzania au kuitumbukiza nchi vitani na majirani halikubaliki. Baada ya kushindwa kujenga uchumi ccm wanaanzisha vita na majirani. Hatar sana kuwa na leader ambao ni negative thinkers
 
Hivi kiherehere cha kuingilia mambo ya jirani yanatusaidiaje? intarahamwe acheni upuuzi wenu. msilazimishe tuunge mkono ujinga kwa kisingizio cha uzalendo!
 
Vita huanza hivi kwa viongozi kuropokaropoka. Na hawaropoki hivi hivi unakuta kuna msukumo wa kimataifa aidha kwa individual kiongozi kama kibaraka wa siasa chafu za kimataifa. Asijedai kasema kwa niaba ya Tanzania bali kwa niaba yake na familia yake, ili kama Rwanda wanakuja wajie familia yake. Si unajua tena wazee wa kimbari?
 
Back
Top Bottom