Hali ya Tanzania na Rwanda si Shwari-Benard Membe

Hali ya Tanzania na Rwanda si Shwari-Benard Membe

waziri anaropoka eti m23 ni wanyarwanda, anamchokonoa kamanda kagame nini
asa kagame anaukamanda gani au kuuaua raia wake aje asubutu kwa tz ndio utakua mwisho wa utawala wake nyambafu we
 
mleta mada msio mtz angalia jina Amavubi its tutsi name wabongo mnakulupuka tu kuchangia huu mtego tu wa kagame
 
hatu muongee vipi DRC tumewachapa m23 vijana wenu na FDLR hatuwapigi kamwe nani awasaidie kupiga adui zenu hiyo kitu haipo FDLR ni salama ktk mikono ya TZ
 
pusi nyie mtaendelea hivyo hivyo kuuana na kujuana kwa urefu wa pua watutsi laana nyie na kagame wenu
 
Diplomatic huandaliwa na mara nyingi huwa wana lugha zao! I wish angeweza kudesa kwa yule Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergey Lavrov !! " Diplomat huwa hawana sifa za uropokaji, huwa wanaongea kwa utaratibu maalum wakati huo huo wanakuwa wamebeba missiles !!! Membe hafai kuwa Foreign Ministers iliyosheheni wanadiplomasia wa hali ya juu Duniani... BTW tunajua kuwa Kagame alikuwa anaiba kwa niaba ya wananchi wake! Sisi tunalinda kwaniaba ya wananchi wa Magharibi!!! Tusifumbe macho tukijifanya hatuoni kuwa kwa nyakati tofauti Uganda na Rwanda zilikuwa Western Darling na walikuwa wanatumiwa kukwapua madini ya Congo? Wao walipo anza kujigawia ndo mzozo ukaanza na sasa majumu yote tumepewa sisi wenye kupiga deal kwenye mishahara ya wapiganaji wetu... Africa tunatia aibu sana ...JK anatakiwa aanze kazi ya kumfunda Membe Udiplomasia ...
 
Mkuu RockSpider unayoyasema yana maana sana ila kwa ninavyoijua serikali ya nchi yetu ina viongozi wababe, wajeuri tena walioshiba limbikizo la mali za wavuja jasho. Si rahisi kwa rais kuwawajibisha swahiba zake labda ingekuwa nchi nyingine kama China ila hapa kwetu tulie tu huku tukisubiri huruma toka kwa Mwenyezi Mungu.
 
Last edited by a moderator:
Issue ni swala hili lilivyobebwa ovyo kidiplomasia......huwezi kuituhumu nchi jirani direct hivyo bila kuibua mgogoro......Kazi iliyotupeleka Congo inafahamika......maneno yale bungeni ya nini? Kama UN inahakika na report yake (hata mimi naamini Rwanda inahusika) kwanini hadi leo hawajaiadhibu Rwanda? Tumekosa lugha ya kidiplomasia kweli?
 
Diplomatic huandaliwa na mara nyingi huwa wana lugha zao! I wish angeweza kudesa kwa yule Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergey Lavrov !! " Diplomat huwa hawana sifa za uropokaji, huwa wanaongea kwa utaratibu maalum wakati huo huo wanakuwa wamebeba missiles !!! Membe hafai kuwa Foreign Ministers iliyosheheni wanadiplomasia wa hali ya juu Duniani... BTW tunajua kuwa Kagame alikuwa anaiba kwa niaba ya wananchi wake! Sisi tunalinda kwaniaba ya wananchi wa Magharibi!!! Tusifumbe macho tukijifanya hatuoni kuwa kwa nyakati tofauti Uganda na Rwanda zilikuwa Western Darling na walikuwa wanatumiwa kukwapua madini ya Congo? Wao walipo anza kujigawia ndo mzozo ukaanza na sasa majumu yote tumepewa sisi wenye kupiga deal kwenye mishahara ya wapiganaji wetu... Africa tunatia aibu sana ...JK anatakiwa aanze kazi ya kumfunda Membe Udiplomasia ...

unadhani Jk ana sifa zozote za ualimu wa diplomasia? Jk amfunde Membe? yaani vilaza wafundane!
 
unadhani Jk ana sifa zozote za ualimu wa diplomasia? Jk amfunde Membe? yaani vilaza wafundane!

Mkuu tukiacha tofauti za kiitikadi JK ni Mwanadiplomasia aliebobea ... huwezi kumfananisha JK na Membe hata 0000.00001%... JK kauli zake zilikuwa zinazima choko choko za maadui popote walipo, alikuwa hana muda wa kukaa na kuanza kuropoka details za kimedani Bungeni... ukweli mwisho wa siku kila nchi inakuwa inalinda maslahi yake! Bahati mbaya sana sisi tuko tayari kupoteza wapiganaji wetu kwa maslahi ya Mabepari wa Ulaya ...
 
Hawa jamaa wanahangaika kweli kuipiganisha Tanzania na Rwanda kwa mgogoro wao binafisi. Walisha wapiga m23 na wakawaondoa Congo. Sasa kuna haja gani kuuendeleza mgogoro huu na kwa masilahi ya nani na hata kama ni kweli kwanini wamfunge panga kengele. UN ndio yenye utafiti na riport yao jukumu la kuitangaza ni la Membe. Ni kweli Rwanda ni tatizo Congo lakini kununua mgogoro huo na kuuhamishia tanzania au kuitumbukiza nchi vitani na majirani halikubaliki. Baada ya kushindwa kujenga uchumi ccm wanaanzisha vita na majirani. Hatar sana kuwa na leader ambao ni negative thinkers

Mbona enzi ya Mkapa hatukuwa na matatizo na Rwanda? Huu ni mgogoro binafsi wa huyu mkweree aliyeshindwa kuikwamua nchi yake kiuchumi/ pia ameshindwa kuipatia nchi katiba waitakayo wananchi na hivyo sasa anataka kudivert attenetion ya watu kwa mambo yasiyokuwa na tija kwa nchi!!
 
JK anatakiwa aanze kazi ya kumfunda Membe Udiplomasia ...

Ni rahisi kwa kipofu kumvusha barabara kipofu mwenzake kuliko JK kuwa na akili ama wazo la kumfunda Membe juu ya diplomasia ya Kimataifa. Naamini wote ni weupe kwenye hilo na kinachowezekana kwao labda kufundana kwenye diplomasia ya kucheza ngoma....
 
mbona wachonganishi kama news of rwanda na rwanda time hamyataji acheni ujinga wenu asa sie tutukanwe afu tukae kimya
 
Hako ka mkoa ka Rwanda bana tabu tupu bora wakoloni wangetugaia kama zawadi.
 
mimi nadhani wengi wetu humu, hatuna access ya yale yote yanayoendelea hivyo judgement zetu zinakuwa based na personal feelings tu, nadhani ni vyema tukaachia mambo mengine nyeti kwa wale tuliowaamini kutuongoza, sidhani kama viongozi wetu wanataka sana vita au wanahamu saana ya ugomvi, nature yetu sio migogoro hivyo sikubaliani na mitazamo ya wengi kwamba huu mgogoro umekaa kibinafsi zaidi ya national interest, naamini kabisa kuna mambo ambayo si sawa yanayoendelea ambayo wengi wetu hatuyafahamu hivyo, tuwe wazalendo kwa kuwasupport viongozi wetu, hawa ambao wapo karibu na vyombo vyetu vya usalama na wanajua yanayoendelea kuliko wengi wetu tunaotoa maoni kwa hisia
 
Mkuu tukiacha tofauti za kiitikadi JK ni Mwanadiplomasia aliebobea ... huwezi kumfananisha JK na Membe hata 0000.00001%... JK kauli zake zilikuwa zinazima choko choko za maadui popote walipo, alikuwa hana muda wa kukaa na kuanza kuropoka details za kimedani Bungeni... ukweli mwisho wa siku kila nchi inakuwa inalinda maslahi yake! Bahati mbaya sana sisi tuko tayari kupoteza wapiganaji wetu kwa maslahi ya Mabepari wa Ulaya ...

Mkuu nakubaliana na wewe 100% kwa hili, ila muanzishaji wa huu uzi ni mwenzetu kweli?

Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
 
Wabunge wengi wanahitaji semina za kidiplomasia.Mbunge Kessy hana Diplomatic language katika kuchangia hoja za kidiplomasia.Huwezi kuituhumu Zanzibar kuwa hawachangii kitu kwa hiyo kama wakitaka kutoka kwenye Muungano watoke.Huwezi kuituhumu nchi jirani kuwa inafadhili M-23 na pia kuwa inaiba mali Congo .Waziri Bernard Membe ameni-dissappoint sana kwa kupiga makofi wakati mbunge huyo wa Nkasi akitoa undiplomatic language ndani ya Bunge la Jamhuri.Membe Kupiga Makofi maana yake ametoa Applausing Consent na kwamba aliyosena huyo mbubge wa CCM ndio msimamo wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Nitawashangaa sana Wabunge wa Zanzibar kama hawatafanya Diplomatic Walk Out as a protest unless Ameomba Radhi.Naibu Spika nae analeta mzaha kuwa mmeleta mambo ya kwenye Bunge la Samwel Sitta(Bunge la Katiba) kwenye Bunge hili.Naye anahitaji semina ya kidiplomasia .Bunge la Samwel Sitta lina heshima ya kikanuni na matumizi ya lugha zenye staha na zisizoudhi(Diplomatic Language).Sasa nae ametoa reckless statement...!

UN Report iliituhumu Rwanda lakini Azimio 2098 la kuunda Intervention Brigade halikuijadili Rwanda.Kessy hata hajafanya rejea ya Ripoti hiyo labda Membe amsaidie baadae.Lakini hata kama ndio hivyo hakuna adhabu ambayo Rwanda imekabiliwa nayo kupitia maazimio ya UN Security Council.Maana Rwanda ingewekewa Vikwazo

Lugha ya Diplomasia maana yake ni mtu kukuambia "kafie mbali" au "Go to Hell" kwa njia isiyoudhi na kukera.

Mwanadiplomasia akikuambia NDIYO anamaanisha LABDA,akikuambia LABDA anamaanisha HAPANA na anapokuambia HAPANA basi SIO Mwanadiplomasia tena.

Wabunge wa sampuli hii sidhani hata kama wanalinda hadhi ya pasi za kidiplomasia wanapokua safarini nje ya nchi

Leo tutarajie Membe kutumia Flirtiring Skills kukwepa kujibu hoja maana ni bingwa wa Flirtiring.Natarajia wabunge wambane kuhusu Balozi za nje,Review ya Economic Diplomacy Policy,Migogoro ya majirani zetu,Uchaguzi wa Malawi na Role ya Tanzania katika SADC katika kulinda values za SADC,Diaspora na pia aibu ya kushindwa kuwa na takwimu sahihi ya idadi ya watanzania nje kama alivyokiri juzi kuhusu Sudani Kusini ambako tulishindwa kufanya Evacuation ya raia wetu ilipotokea Machafuko

hii habari ya tanzania daima
 
aliyeleta mgogoro huu bungeni ni membe au wenje mbona unahamisha lawama? TZ haina tatizo lolote na Rwanda, ni Rwanda ndio yenye matatizo na TZ.

dah! shangaa? kumbe chadema tawi la m23 afu ukizingati we wenje uraia wake utata
 
Back
Top Bottom