Wana Mtwara bana siasa itawapeleka pabaya.
Kwa hili siwaungi mkono
Siamini kama ndugu zangu wa Mtwara mmekuwa wakorofi kiasi hiki nadhani ni wakati wa serikali kuhakikisha usalama wa nchi unaangaliwa kwanza na kuwashughulikia wachonganishi wote wakiongozwa na hawa chadema laana ya mungu iwe juu lao kwa kuhatarisha amani ya nchi yetu.
pale unapomuona ofisa wa serikali au mwanasiasa amepanda VX alafua anawaeleza wananchi ambao hata nguo walizovaa ziaonyesha wazi kuwa wana hiki kuwa1.hatuwezi kukubali kuendele kuitwa nchi masikini
2.hatuwezi kukubali kuendelea kuitwa watu masikini pamoja na mali zote za nchi.
TUNATAKIWA KWENDA HATUA MBELE ZAIDI YA HII YA WATU WA MTWARA KWA KUZUIA WIZI WA MATAIFA YA NJE.
Tangu Mwaka huu uanze haya ndiyo maoni ya kiwango cha chini kabisa kuwahi kutokea kwenye jukwaa hili !
Mbona wakina mama na watoto wako mstari wa mbele.Wanapokaa nyuma shida na matatizo ni juuu yao.ukisikia mauajia huko mtwara kafa mtoto au mwanakeTunaomba amani izidi kutawala Mtwara kwani machafuko yakitokea waathirika wakubwa ni akina mama na watoto.
Tangu Mwaka huu uanze haya ndiyo maoni ya kiwango cha chini kabisa kuwahi kutokea kwenye jukwaa hili !
acha kuwa coward we dawa ya jiko...be reasonable ..hawa raia wapo macho hawajasinzia kama wewe!
CCM watakata umeme ili mshindwe kusikiliza hotuba ya wizara...
Kama ulikuwepo baba, huku kwetu Tabora maeneo ya Cheyo A umeme wameshakata lakini hata hivyo nimesikia bado naleo wanaendelea kujadili bajeti ya Dr. Mwakyembe na siyo hayo mambo ya hao akina chamaki nchanga.
mbona leo ni kuna muendelezo wa mjadala wa bajeti ya uchukuzi ya dr.mwakyembe..nani kawaambia leobajeti ya wizara ya nishati na madini...ukweli hili jambo la gas kuna watu wako nyuma ndio wanahamamsisisha wananchi vyema serikali ikawa makini na hawa watu wachache wanao chochea vurugu baada ya mshakamano na kuwaeleza wananchi ukweli.....
pale unapomuona ofisa wa serikali au mwanasiasa amepanda VX alafua anawaeleza wananchi ambao hata nguo walizovaa ziaonyesha wazi kuwa wana hiki kuwa
"sisi serikali tunajitahidi kuwatetea nyie wanyonge na masikini...."
Sasa wanamtwara wameshaanza na wanaendelea kuonyesha umma wa watanzania kuwa
1. wao sio wanyonge
2. kwamba wao sio masikini
Juu ya vyote ni kuwa wanaweza kufanya kitu hata kwa kukaa kimya!