HByabatto jr
Senior Member
- Dec 23, 2011
- 142
- 13
mkapa unasemaje kuhusu hili?
Taarifa hizo ni za kweli,sizinga ataleta picha mda si mrefu sana
Wekeni picha, mbona picha hatuzioni.
Wana JF, updates kutoka Mtwara zinasema wananchi wameitikia wito wa kutofanya kazi yeyote na kwamba ofisi za serikali tu ndio zinatoa huduma huku kila mwananchi akiwa nyumbani kwake.
Ni kawaida ya vijijini, sikuzote huwa wanakuwa wa mwisho kufunguka. Hata mtaji mkubwa wa CCM kubaki madarakani umekuwa ni vijijini.ni kwa mtwara mjini huku wilayani shughuli zinaendelea kama kawaida.
Mkuu hizi harakati zinabidi zipelekwe kule Tarime....Watu wa mara wanasoma namba hapa